Mafuriko Kujikwamua na Mchango wa umasikini katika kukabiliwa, utetevu* na ustahamala** wa mafuriko katika jiji la Dar es Salaam Waandishi: Alvina Erman, Marguerite Obolensky, Stephane Hallegatte Mara kwa mara Dar es Salaam hukumbwa na mafuriko hasa uhusiana uliopo kati ya hali ya umasikini na hatari makubwa yanayosababisha uharibifu na kukwamisha zinazotokana na mafuriko. Linachunguza kwanza ni kwa maisha ya kila siku ya wakazi wake wapatao milioni 4.5. kiwango gani umaskini unavyo changia kwa kaya kukabiliwa Matukio ya mafuriko makubwa hivi karibuni yalishuhudiwa na mafuriko – ni nani anayeathirika na mafuriko? –, halafu kati ya tarehe 12 – 18 Aprili, 2018 na kati ya tarehe 5 – katika utetevu – ni kwa kiwango gani watu hupoteza (hali 8 Mei, 2019 (picha hapo juu). Pamoja na idadi ya watu ya maisha na mali) wakati mafuriko? – na mwisho katika inayoongezeka kwa kasi, mabadiliko ya tabianchi na ustahamala wa kiuchumi na kijamii – ni kwa kiasi gani kupanda kwa usawa wa bahari, watu waliopo katika hatari watu walioathirika wanaweza kumudu na kupata ahueni ya mafuriko inakadiriwa kuongezeka. Katika muktadha kutokana na mafuriko katika jiji la Dar es Salaam? huu, uelewa mzuri wa hatari na matokeo ya hivi karibuni kwenye maisha na ustawi wa watu ni yenye umuhimu Kukabiliwa – Watu masikini wana mkubwa kwenye utangaji wa sera zinazohusu eneo hili. uwezekano mkubwa wa kukabiliwa Andiko hili linatoa ufahamu mpya kwenye athari za na hatari ya mafuriko “>vÕÀˆŽœŽ>̈Ž>ˆˆ> >ÀiÃ->>>“]ŽÕˆ˜}>˜>˜>Ì>ẅ“Lˆˆ zilizofanywa kama sehemu ya Programu ya Miji Stahamala Uwezekano wa athari za mafuriko umeenea katika jiji la Dar Tanzania (TURP). es Salaam — asilimia 39 ya idadi ya watu au watu milioni 2 – wameathirika aidha moja kwa moja au si moja kwa moja Matokeo yanaonyesha kwamba watu wengi zaidi na mafuriko huko nyuma1 Ramani hapo chini zinaonyesha wanakabiliwa na mafuriko katika jiji la Dar es Salaam kiwango cha kaya zilizoripotiwa ama kuathirika moja kwa kuliko ilivyodhaniwa huko nyuma na kwamba masikini moja au si moja kwa moja, kulingana na kata za jiji (hizi ndio waathirika kwa sehemu kubwa. Andiko hili lililenga ni zile kata tu zilizo na kaya 10 au zaidi zilizojumuishwa). ΎhƚĞƚĞǀƵͲtĞƉĞƐŝǁĂŬƵĂƚŚŝƌŝǁĂͮΎΎhƐƚĂŚĂŵĂůĂͲhǁĞnjŽǁĂŬƵŚŝŵŝůŝŶĂŬƵƌĞũĞĂŬĂƚĂƟŬĂŚĂůŝLJĂŬĂǁĂŝĚĂ ϭ DĂŬĂĚŝƌŝŽŚĂLJĂLJĂŶĂƚŽŬĂŶĂŶĂŵĂŬĂďŝůŝĂŶŽďŝŶĂĨƐŝLJĂŵĂĨƵƌŝŬŽLJĂůŝLJŽƌŝƉŽƟǁĂ;ŝŬŝũƵŵƵŝƐŚĂŵĂĨƵƌŝŬŽLJĂϮϬϭϴͿŶĂŚƵŬŽŬŽƚŽůĞǁĂŬǁĂŬƵƚƵŵŝĂƐĂŵƉƵůŝnjĂŵŝnjĂŶŝ͕ƵŬŝĐŚƵŬƵůŝĂ ŬǁĂŵďĂŵŬĂŬĂƟǁĂŬƵĐŚĂŐƵĂƵůŝĨĂŶŝŬŝǁĂŬƵŶĂƐĂƵǁĂŬŝůŝƐŚŝǁĂŚĂƚĂƌŝnjĂŵĂĨƵƌŝŬŽŬĂƟŬĂũŝũŝůĂĂƌĞƐ^ĂůĂĂŵ͘ Watu ambao nyumba zao zimeathirika na mafuriko huko • Watu wanaokabiliwa na athari za mafuriko zisizo za moja nyuma wamekuwa wakiishi katika maeneo ya bondeni na kwa moja – kama vile magonjwa yanayohusiana na yenye msongamano mkubwa wa watu, karibu na maeneo mafuriko, kutoweza kwenda kazini, au wanaokumbana yenye maji. Lakini mafuriko huathiri watu wengi zaidi kwa na kukatika katika kwa umeme na maji – pia ni kuvuruga miundombinu ya jiji, yakizuia watoto kwenda masikini zaidi kuliko wastani: na matumizi yao ya mtu shule na kuzuia watu kwenda kazini. mmoja yako chini kwa asilimia 20 kuliko kaya ambazo hazijaathirika. Kipato cha juu hufanya kazi kama kinga Kielelezo 1 – Mgawanyo wa kaya zilizoathirika dhidi ya athari za mafuriko zisizo za moja kwa moja, moja kwa moja (juu) na zisizo athirika moja kwa ŽÜ> “v>˜œ] ŽÕÜiâiÅ> “>ÌՓˆâˆ Þ> ˜ˆ> â> ÕÃ>wÀˆ moja (chini) kulingana na kata2 “L>`>>Ü>Ž>̈“vՓœÜ>ÕÃ>wÀˆÜ>Փ“>ՎœV…ˆ˜ˆ°  Kielelezo 2 – Mgawanyo wa matumizi ya kifedha (Tsh) kwa kaya zilizoathirika moja kwa moja (juu) na zile zisizoathirika moja kwa moja (chini) pamoja na kaya zisizoathirika kabisa. Kuathirika moja kwa moja Ambazo hazikuathirika kabisa m k i g m m z m Zisizoathirika moja kwa moja K Ambazo hazikuathirika kabisa m m h z m m k v Angalizo: Takwimu haziwakilishi uhalisia katika ngazi ya kata, n hivyo matokeo ni kiashiria. n k Watu masikini na utetevu wanawakilisha sehemu kubwa zaidi miongoni mwa waathirika wa mafuriko katika jiji la Dar es Salaam. U n Katika jiji la Dar es Salaam, mafuriko na makazi holela • Watu wanaokabiliwa na uharibifu unaotokana na huenda pamoja. Kaya zinazoathirika moja kwa moja na mafuriko ya moja kwa moja (kwa nyumba au mali zao) mafuriko zina uwezekano mdogo wa kuwa na uthibitisho k wanakuwa na matumizi ya mtu mmoja ambayo yako (mikataba/ Hati) ya makazi – dalili ya uholela – na kulipia chini kwa asilimia 14 kuliko ya watu wasioathirika. huduma za ukusanyaji taka – mfano mzuri unaowakilisha M Kaya ambazo zinaishi katika ukanda wa mafuriko pia ubora wa huduma za umma. Pia kaya ambazo haziathiriki A hazina uhakika wa chakula kwa kiwango kikubwa moja kwa moja na mafuriko huwa na kawaida ya kuishi Þ kuliko wastani, na huwa na uwezekano mkubwa wa katika maeneo ambayo miundombinu ya kuaminika y kuongozwa na mwanamke. Hii inaashiria kwamba watu haipatikani. Kwa mfano, kuna uwezekano mdogo kwa kaya y walio utetevu huishi katika maeneo ya hatari kubwa, hizi kuwa na mifereji nje ya makazi yao na hupata huduma I ama kwa sababu wanajenga makazi huko, au kwa `՘ˆâ>“>ˆ“>Ã>w˜>“>ˆÌ>Ž>° w sababu hawawezi kuondoka wakati hatari ya mafuriko Kuna faida kadhaa kutokana na kuishi katika maeneo S ikiongezeka (kwa mfano kwa sababu ya kuongezeka ambayo hukumbwa na mafuriko kwa urahisi. Kwa mfano, K kwa makazi holela katika jiji pamoja na miundombinu kaya ambazo huathirika na mafuriko mara kwa mara huishi m ya mifereji isiyotosheleza). Ϯ ZĂƐŝLJĂDĂƐĂŬŝ;DƐĂƐĂŶŝͿŝŶĂŽŶLJĞƐŚĂŬĂŵĂĞŶĞŽůŝŶĂůŽŬĂďŝůŝǁĂŬǁĂŬŝǁĂŶŐŽŬŝŬƵďǁĂŶĂŵĂĨƵƌŝŬŽůŝĐŚĂLJĂŬƵǁĂŬǁĂƵũƵŵůĂŶŝĞŶĞŽůŝŶĂůŽĐŚƵŬƵůŝǁĂŬƵǁĂŶŝůĂŵĂƚĂũŝƌŝŶĂ ŚŝǀLJŽƐĂůĂŵĂŬƵƚŽŬĂŶĂŶĂŵĂĨƵƌŝŬŽ͘<ĂLJĂϮϬnjŝůŝnjŽƉŽŬĂƟŬĂŵĂĞŶĞŽLJĂƐŝLJŽƉŝŵǁĂŬĂƟŬĂƐĞŚĞŵƵnjĂŬƵƐŝŶŝLJĂDĂƐĂŬŝnjŝůŝũƵŵƵŝƐŚǁĂŬĂƟŬĂƐĂŵƉƵůŝ͕ŶĂĂƐŝůŝŵŝĂϰϯnjŝůŝƌŝƉŽƟǁĂ kuwa na mafuriko maeneo ambayo ni mara 2.5 karibu zaidi ya kazini kuliko Jedwali 1 – Mnyambuo wa gharama kwa kaya katika kaya ambazo hazijaathirika. Wakati hatari wa mafuriko mafuriko ya 2018 inaonekana kutoathiri thamani ya pango, ukilinganisha Mafuriko ya mwezi Aprili 2018: Hasara gharama za upangaji kwa kaya zisizoathirika na mafuriko mara zote kaya zilizoathirika huthaminisha na kupangisha Hasara za moja kwa moja (matengenezo Shilingi bilioni 236* – 502** makazi yao kwa bei iliyo takribani asilimia 30 chini. Hizi bei ya nyumba na upotevu wa mali) za chini zinaweza kutoa motisha kwa wageni kuishi katika Hasara zisizo za moja kwa moja (afya na Shilingi bilioni 13 – 28 maeneo yanayokumbwa na mafuriko mara kwa mara. ŽÕV…iiÜ>>ÕŽÕ̜wŽ>Ž>∘ˆ® Kwa ujumla, watu huchukua hatua kujilinda dhidi ya Փ>Þ>…>Ã>À> Shilingi bilioni 249 – 530 mafuriko, na hii ni katika maeneo salama zaidi na pia ¯Þ>*>̜…>w>ˆˆ Asilimia 2 – 4 maeneo yanayokumbwa na mafuriko mara kwa mara. Hata *ukichukulia kwamba kaya ambazo hazikufikiwa katika utafiti uliofuatia hazikuathirika hivyo, aina za hatua wanazochukua hutofautiana. Kaya ** ukichukulia kwamba kaya ambazo hazikufikiwa katika utafiti uliofuatia ziliathirika sawa na zile zilizofikiwa zilizoko katika maeneo ya hatari kubwa wana uwezekano mkubwa wa kuchukua hatua thabiti kama vile kuchimba ya siku 84. Upotevu wa mali peke yake ni sawa na asilimia mtaro, kuweka viroba vya mchanga au kujenga ukuta 77 ya upotevu wote. Matengenezo ya nyumba ni sawa na kuzunguka nyumba. Hatua nyingine za kawaida – kama asilimia 17 ya hasara yote, ijapokuwa asilimia 21 ya wakazi vile kuondoa taka kutoka maeneo yanayozunguka nyumba wa jiji walikabiliwa na maji kwenye nyumba. Hii ni kwa na mifereji ya jirani – ni utaratibu wa kawaida unaofanywa sababu sehemu kubwa (asilimia 25) ya kaya zilizokabiliwa na kaya zote, hata katika maeneo ambayo yanachukuliwa na mafuriko hazikufanya matengenezo yoyote, ama kuwa ni salama zaidi. kwa sababu uharibifu haukuwa mkubwa au kwa sababu hawakuwa na rasilimali za kulipia matengenezo. Utetevu – Jumla ya hasara zitokanazo Kielelezo 3 – Aina ya Hasara inayoshuhudiwa na na mafuriko katika ngazi ya jiji ni kaya zilizoathirika katika mafuriko ya mwaka 2018 kubwa sana Mafuriko ambayo yaliliathiri jiji la Dar es Salaam mwezi Aprili, 2018 yaliwagharimu wakazi sawa na asilimia 2 – 4 Þ>>«>̜…>wÞ>ˆˆ°/>̅“ˆ˜ˆ…ˆˆˆ˜>̜Ž>˜>˜>“>̜Žiœ ya mahojiano ya simu yaliyofanyika na kaya miezi 6 baada ya mafuriko. Inakadiriwa kwamba mafuriko ya Aprili 2018 yaliwakumba watu kati ya 900,000 na milioni 1.7 katika jiji la Dar es Salaam, ama moja kwa moja au si kwa moja kwa moja. Kwa wastani, kaya zilizoathirika zilipoteza asilimia 23 ya matumizi yao kwa mwaka – hii ni sawa na matumizi ya kaya Athari za afya na athari za mahudhurio kazini zilienea: Kielelezo 4 – Mgawanyo wa matumizi ya mtu mmoja Asilimia 18 ya wakazi wa jiji waliripoti athari za kiafya na mmoja kwa uwakilishi asilimia 26 waliripoti kukosa siku za kazi. Kutokana na mafuriko ya 2018, Wanawake walikosa kwenda kazini kwa uwiano mkubwa zaidi kuliko wanaume: kiwango cha wanawake ukilinganisha na wanaume waliokaa nyumbani kutokana na mafuriko ya 2018 ilikuwa asilimia 60. Hata hivyo, thamani ya fedha ya hasara hii isiyo ya moja kwa moja inawakilisha na asilimia 5 tu ya jumla ya hasara yote ya mafuriko. Kwa mfano, gharama zinazoambatana na huduma za afya kwa wastani zilikuwa chini – Shilingi 110,000 kwa wastani – kama ilivyo kwa gharama za kukosa kwenda kazini kwa kaya – wastani wa Shilingi 50,000 kwa kaya, licha ya wastani wa siku 19 za kukosa kwenda kazini. Athari za mafuriko kwenye ustawi zinajidhihirisha kwa sehemu ndogo kwenye makisio haya. Ukomo katika sehemu mbili unaonekana hasa kuwa muhimu. Thamani ya kifedha kwenye madhara ya mafuriko haiwezi kuelezea athari za muda mrefu za mafuriko, kama vile athari mara mbili ya kaya ambazo zinakumbana na mafuriko kila katika maendeleo ya kazini kwa kutoonekana kazini, kuona mwaka kuliko kaya ambazo zilipata nafuu. Hii huashiria biashara ya familia ikiharibika au kuvurugwa, au athari za kwamba baadhi ya kaya hizi huishi katika hali ya kujiandaa maamuzi ya uwekezaji. kurejea katika hali ya kawaida wakati wote, zikiwa na athari zilizolimbikizwa za mafuriko ya mara kwa mara kwenye Makisio ya gharama hayadaki athari za ustawi zisizokuwa za umasikini hivyo kuathiri matarajio yao ya siku za mbele. kifedha, kama vile mdororo wa afya kutokana na kuvurugwa kwa huduma za maji na majitaka, au vipindi vinavyojirudia Upatikanaji wa huduma za fedha na kutuma fedha (rasmi vya msongo wa mawazo. Katika vikundi lengwa, athari za na zisizo rasmi) ni muhimu kuwezesha upatikanaji ahueni. afya zimekuwa mara kwa mara zikiripotiwa kama ndio athari Huduma za kukopeshana na kutuma fedha zisizo rasmi mbaya zaidi za mafuriko kulingana na kaya. ŽÕ̜Ž> ŽÜ> “>À>wŽˆ ˜> v>“ˆˆ>] «ˆ> ˜> ۈŽÕ˜`ˆ ÛÞ> >“ˆˆ vya kuweka na kukopa fedha3 — hususani zile ambazo 1Žˆ>˜}>ˆ> Ž>̈Ž> Õ“> Þ> …>Ã>À> ­>Õ Ü>ÃÌ>˜ˆ® ∘>wV…> zinasaidia shughuli za uzalishaji mali – husaidia watu kupata jambo muhimu la kiujumla katika kaya zote. Takribani ahueni. Upatikanaji wa akaunti rasmi za benki pia zinaleta asilimia 40 ya kaya zilizoathirika zilipoteza chini ya “>L>`ˆˆŽœ° 7>Ž>̈ Õ«>̈Ž>˜>ˆ Ü> “ˆŽœ«œ À>ӈ ˜ˆ w˜ÞÕ asilimia 1 ya kipato chao cha mwaka, wakati asilimia 13 sana nchini Tanzania, hiki ni chombo muhimu sana cha ya kaya zilizoathirika zilipoteza zaidi ya asilimia 50. Cha fedha za kugharamia watu kupata nafuu. Hatimaye, bima kushangaza, watu masikini zaidi sio waliopoteza vitu vingi ya kinga dhidi ya uharibifu wa mafuriko ni adimu, lakini pia zaidi, hata ukihusisha kipato chao. Sababu moja ni kwamba imeonekana kuwezesha ahueni. kaya masikini zina mali chache na zina uwezo mdogo wa kumudu gharama za matengenezo, na kusababisha Kuna uwezekano kwa kaya zinazoongozwa na wanawake thamani ndogo ya fedha ambayo haiakisi majanga kama ilivyo zile za wanaume kupata ahueni kutokana yaliokabili kaya. Hii inathibitisha umuhimu wa kuchukulia na mafuriko, lakini wanaweza kutumia nyenzo tofauti. maanani na kujumuisha athari za ustawi katika tathmini ya Kuna uwezekano wa asilimia 9 kwa kaya zinazoongozwa athari za majanga. na mwanaume kuwa na akaunti rasmi ya benki na kuwa na kawaida ya kuweka akiba kwa asilimia 11.5. Kwa Ustahamala – Upatikanaji wa fedha upande mwingine, kaya zinazoongozwa na mwanamke, zina uwezekano mkubwa wa kujihusisha katika vikundi husaidia kaya kuhimili na kurejea vya kijamii vya kuweka akiba na kukopesha kuliko kaya katika hali yake ya kawaida zinazoongozwa na mwanaume. Mafuriko ni tatizo lililoenea katika jiji la Dar es Salaam na Ustahamala wa kiuchumi na kijamii unafafanuliwa kuwa hutokea kwa gharama kubwa kwa jiji. Kwa mamilioni ya ni uwezo wa kaya zilizoathirika kumudu na kurejea katika wakazi, hatari ya mafuriko ni tishio la kudumu, linalovuruga hali yake ya kawaida kutokana na uharibifu wa mafuriko. maisha ya kila siku, kuharibu mali na makazi, na kuathiri Takribani theluthi ya kaya ambazo ziliathirika na mafuriko afya, kazi na elimu. Kwa walioathirika zaidi, mafuriko kabla ya 2018 ziliripoti kutopata ahueni kutokana na mstuko ni kikwazo kikubwa cha ustawi na maendeleo. Kukuza (mistuko). Kwa wastani kaya hizo ni masikini zaidi kuliko ustahamala wa kaya za Dar es Salaam kutafanya zaidi ya kaya ambazo ziliathirika na huelekea kuishi maeneo ya kuwafanya waweze kukabiliana vizuri zaidi dhidi ya mistuko mabondeni ambayo yana upatikanaji mdogo wa huduma hii, itawafanya waweze kuondokana na umasikini, kuishi kama vile umeme na maji ya bomba. Kinachoonekana, maisha yenye hadhi zaidi, na kustawi. miongoni mwa kaya ambazo hazikupata ahueni, kuna ϯ ,ĂƚĂŚŝǀLJŽ͕ŬĂLJĂnjŝůŝŽŶLJĞƐŚĂŬǁĂŵďĂǀŝŬƵŶĚŝǀLJĂũĂŵŝŝǀLJĂŬƵǁĞŬĂĂŬŝďĂŚĂǀŝĨĂŶLJŝŬĂnjŝǀŝnjƵƌŝŬŝĂƐŝŚŝĐŚŽǁĂŬĂƟǁĂŵĂũĂŶŐĂŬǁĂǀŝůĞũĂŵŝŝŝŶĂŽŶĞŬĂŶĂŬƵĂƚŚŝƌŝŬĂǁĂŬĂƟŚƵŽ͕ŚŝǀLJŽ kuweka shinikizo kwenye rasilimali zilizokusanywa