Orodha: Vipengele Vingine vya Ubora wa Elimu Orodha ifuatayo ni nyongeza iliyopendekezwa kutumika pamoja na vipengele vya uangalizi darasani vya zana ya Teach. Lengo la orodha hii ni kutathmini sehemu ziada zinazohusiana na ubora wa elimu, ikiwa ni pamoja na lakini siyo tu upatikanaji wa mazingira. Walimu wanapaswa kuulizwa vitu vinavyoonyeshwa na alama (*). **vitu vya kumuliza mwalimu Jaza kabla ya uangalizi Namba ya Shule/Kituo Namba ya Mwalimu Jina la Mwalimu* Namba ya Mwangalizi Tarehe Siku Siku Mwezi Mwezi Mwaka Mwaka Mwaka Mwaka Muda uliopangwa wa darasa* Muda kamili wa darasa Muda somo lilianza Jumla ya Mwanamke Mwanaume walioandikiswa darasani* Mwanamke Mwanaume Wanafunzi waliopo Darasa/ngazi ya darasa* Somo Idadi ya watu wazima Mwanamke Mwanaume waliopangiwa Jumla ya walimu (siyo pamoja na idadi ya kufanya kazi darasa wasaidizi) hili* Jumla ya wasaidizi Idadi ya wasaidizi wanaotoa msaada maalumu kwa mmoja au kikundi kilichochaguliwa cha wanafunzi. Nyingine (tafadhali elezea jukumu): Jaza baada ya uangalizi Muda somo lilimalizika Wanafunzi wangapi Mwanamke Mwanaume wanaweza kupata Kitabu kwa darasa (mfano. Lugha au hisabati) vifaa vifuatavyo?* Penseli au peni Daftali Vifaa vya kufundishia na kujifunzia kama vile maandishi ya vipofu au vitabu vyenye maandishi makubwa Ukilinganisha na Mwanamke Mwanaume wanafunzi wenye Changamoto nyingi kuona, hata kama ni kuvaa rika moja, wanafunzi miwani? wangapi walioandikishwa Changamoto nyingi kusikia, hata kama darasani wana wanatumia vifaa vya kusaidia kusikiliza? changamoto Changamoto nyingi kutembea au kupanda zifuatazo? ngazi? Changamoto nyingi kukumbuka au kuzingatia? Changamoto binafsi kama vile kunawa au kuvaa? Changamoto nyingi kuwasiliana(katika lugha yake ya kawaida), mfano kuelewa au kueleweka? Changamoto nyingi kuwa watulivu (mfano kupiga wanafunzi mara kwa mara, kutokumweshimu mwalimu)? Ni lugha gani rasmi ya kufundishia?* Ni uwiano gani wa Wanafunzi wote wanaongea lugha hii nyumbani. wanafunzi waliojiandikisha Zaidi ya nusu ya wanafunzi wanaongea lugha hii wanazungumza nyumbani. lugha moja Chini ya nusu ya wanafunzi wanaongea lugha hii nyumbani kama nyumbani. lugha rasmi ya kufundishia?* Hakuna mwanafunzi anayeongea lugha hii (chagua moja) nyumbani. Mwalimu alitumia lugha gani kufundisha?* Wanafunzi wangapi Mwanamke Mwanaume wana Mipango Binafsi ya Elimu au wanapata msaada wa wataalam?* Idadi ya watu Mwanamke Mwanaume wazima waliomo Jumla ya walimu (siyo pamoja na idadi ya darasani wakati wa wasaidizi) uangalizi Jumla ya wasaidizi Idadi ya wasaidizi wanaotoa msaada maalum kwa mmoja au kikundi kilichochaguliwa cha wanafunzi. Nyingine (tafadhali elezea jukumu): Je, ulihitaji kumaliza Ndiyo Kama ndiyo onyesha yafuatayo: uangalizi kabla ya muda Sehemu: Muda wa kumaliza: Sababu: umekwisha kwa sababu Hapan yoyote? a Je, wanafunzi Ndiyo Kwa dakika ___ hawakuwa na usimamizi? Hapan a Je ulishuhudia maneno Ndiyo Tafadhali elezea ulichoshuhudia: mabaya/utumiaji wa Hapan nguvu? a Je, vifaa hivi viko Ndiyo Hapana darasani? Ubao wa kuandikia Chaki au kalamu zipo za kuandikia kwenye ubao wakati wa somo Vifaa vingine vya kufundishia na kujifunzia mbali na vitabu (mfano; vifaa vya maabara/vifaa janja/vifaa vya Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari Je, vifuatavyo vinaweza Paa la kuzuia hali mbaya ya hewa kuonekana darasani? Mtandao wa umeme unaofanya kazi Madirisha Je kuna mwanga wa kutosha kusoma kilichoandikwa ubaoni ukiwa nyuma ya darasa? Mwangalizi Ona: soma maandishi ubaoni ukiwa nyuma ya darasa. Je, kazi za wanafunzi zinaonekana darasani? Mbali na kazi ya wanafunzi, je darasani kuna mabango au ramani/chati? Wanafunzi ambao hawakai madawatini Kama ndiyo, wanafunzi wangapi? Je, mwalimu anaweza kufikia wanafunzi wanakofanyia kazi/madawatini darasani? Mlango mkuu wa kuingilia ni mpana kutosha kwa mlemavu mwenye baiskeli kuingia Je, vifuatavyo vinaweza Ngazi kuelekea darasani kuonekana nje ya Pandio/njia sahihi enye hali nzuri ya kutumiwa na darasa? mlemavu anayetumia baiskeli kwenda darasani