Page 1 MAYIFUNZA YA VINYUME VYENYE KUANGALIA NAMNA YA KUSHA KWA WATU MAZINGIRA MAYO LETWA NA PESA INAYOCHANGWA NA WALE WANAYO PESA (FC) NA ILE YA IDA KUFUATANA NA MWANGO WA INCHIKWANYA LIAO MAPORI NA UKENGO WA MWITA (PNFoCo) FASI GANI KUTUMISHA MAMBO INAYOANGALIA MAZINGIRA NA SOCIETY (CGES) E2011 Page 2 KAZI YENYEWE KWA KIFUPI – FASIN GANI KU TUAIKISHA MAMBO INAYOANGALIA MAZINGIRA NA SOCIETY Nafasi ile inatayarishwa mu mipango ya PNFoCo ina ukomo wa kutumia siasa yote ya Benki ku ya dunia ya kukinga mazingira kufuatana na vipimo vijote vinao chukuliwa kwa nia ile. Wakati inchi inakosa kanuri yenyi kuanyalia namna gani mazingira inatumiwa. Ni siasa kazalika ya benki ku ndio inatumina katika mwango. Lakini tunapashwa kujua kama sheria muhimu yenyi kuangalia mazingira ya inchi ni kariba ku sainiwa na prezidenti, na kanuni yote nayo angalia hali ya mazingira itafwata baadal. Namna hii ya kuongoza mambo inatazamiwa na kazi hii. Kazi hii imafanyiwa kiisha uchanga zi mkumbwa wa mwango kufuatana na hali ya leo ya kipande hiki iliyojulishwa katiki nkutano moya wa kazi. Ya kwanza ilio fanyishwa mu majimbo ya pori mwaka 2008; ilikunanisha watu kupita mia sita. Watu hawa ndio walionesha hali ya vyote vilokuwa vya lazina katika dikimenti mbali mbali inayo senia mambo yenyi kuangalia kazi yenyewe. Kazi imefanyika hafasi kama vile BikOro, Mbandaka, Inembe Moke, Bongo, Inongo, Epulu, Beni, Mambana Lisala, Boso- Simba, Kubulu, yafunga, jaleo… Mkimi wa kazi ile ulikuwa ni kujua ginsi gani watu (wenyi kuishi porini (Wambote) wanao maputano na watu wengeni; na vile vile namna kujikinga, kakatamiti, na kuingia porini kunafanyika. Majibu kwa yale yote imetiliwa katika dokimenti ina ya sema mambo yote bara bara. Hali hii yote imeangatiliwa na kuitikiwa katiki kazi ta kwanza iliyo anza skin ya mwezi 1 na 2 aprili 2008 pa Kinshasa. Ili fanyiwa na watu 50. Ni kazi ile tena ndio ilio onesha ginsi ingine ya kutizama mambo ingine iliyo ngaliliwa na PNFoCo. Siku ya mwezi tatu mwezi wa ini. Kazi ingine ndogo iliafanyiwa na watu ishirini na tano imeanagalia namna gani uchunguzi wa hali ya mazingira na ule wa society unafanyika. Semina ya tatu ya kuitika kazi, inmefanyika Kinshasa, tangu sika ya mwezi 14 mpaka 15 ya mwezi na tano; Imefanya uchunguzi wa ginsi ya kuongoza mazingira ao kupunguza hali ya utaribifu yake na yote ina yopashwa kufanyika. Kazi hii inaonesha wazi wazi sababu gani project hii ime itikiwa. Ina onesha vile vile fasin inayokamatiwa na pori na ukingi wa nazingira ndani ya inchi. Uchunguzi nkubwa ume fanyika, kufuatana kazi kubwa ya kutapita hii ao kile kyenye kuwa na ………..namwango wa ukingo na ma pori PNFoCo ao na vibarua vyenyi kupana kanuni inayopashwa kufatwa. Ma….yauchnguzi huo, uliyo fanyika siku tatu nzima na wataalamu mbali mbali wenyi kuifuwa kazi hiyo, Matunda ya kazi ile iliofanyika muda wa siku tatu, imeruhusu kuchukuliwa wa yia yenyi lazima sana, na kukamata kwa vipimo maalumu kwa kupunguza vinyume vibaya vinao weza kuharibu kazi ya PNFoCo. Kazi ya uchunguzi ya lazima hii na manlizo mbali mbali watu wengi maliopewa imekomeshwa na kajulishwa kwa watu na manliza kazaa iliyo fanyika ndani ya inchi na wale wanaotumika mkono kwu mkona na mau walileta pesa kufuatana na siasa ya Benki kuu ya dunia. Matumizi ya mambo inayo angalia mazingira na society inia angalia vile vile mambo ambao kazi ilifanyika wakati wa E.E.S. ku ngambo yenyi kuangalia: - Yote yenyi kuangalia culture (OP4.11) - Wakaazi wa kwanza wa inchi –OP4.10) - Kuhamishwa kwa watu bila kutaka (OP4.12 fasi ingine - Fasi kazi inatumikiwa Dokimenti hii inaweza ikaombwa wakati intu eko nayo lazima kufuatana na CGES. Mwango wenyeme Page 3 PNFoCo, kama vile ni jubu ya serkali kwa magumu inayo wapata wata kufuatana na n – wa mapori sda saidia yote yakayifanyika na ma projects mbali mbali ya siku hizi kama ya siku yenyi kuja. Itaangalia kwa namna vizaa vya inchi vinatumiwa kwa jumba na ukingo wa vyote vinavyo ishi. Itafanya yake yote mapori isiharibishwe na vyote vinavyo ishi vipewe samani. Mwango yote huu unao vipande vikubuvu sita kama vile dikimenti inaonesha. Kipande kya kwanza (1) “Kuipa nguvu ma institutions ” (Uvazizi wa mazingira; ukingo wa mwitu na Tourism na ICCN). Kipande hiki kinaangalia mambo ya watumishi wa ma na wali wajengaji wa manyumba. Kipande kya pili (2) Misaada yanyi kutoka huku na huku Kugawa eneo ya pori ma kujulishwa kwa vibarua vya hseria na kanuni hasa kitibu kya Sheriya ya pori. Kipande hiki kinayo Hectar milioni 10 ndani ya eneo ilio chaguliwana mwango; jimbo la Bandundu, la Equateur na la Orientale. Ina panza vile vile kubadirisha vibarwa viangaliao pori vya zamani ni vile vya sasa. Kipande kya tatu (3) “Ukingo wa vyote vinayo ishi ” Kutinga katika hali nzuri ma eneo yote ya zamani na kuunda mapya. Kuna nia kubwa yakuipanua ma eneo kingwa na hectar milioni kumi (10.000 inao) kwa ginsi ya kupato perecnti kumi na tano (15%) mu eneo dile kama vile kitabu kya Sheriya ya pori kinaomba. Kipande kya ine “Uchunguzi na kupangwa vizuri kwa mapori yenyi kutoa miti ” Kopande hiki inayi nia ya kufanya mipango itakao tumikisha kazi ya mapori kufuatana na Sheriya na vibarua vyote vinao angalia mapori. Kipande kya tano “Mapori ya vijiji na inayo tumiwa na watu wengi ” Kipande hiki kina angalia namna kitabu kya Sheriya ya mapori kinatumiwa katika vijiji kufuatana na ukataji wa miti, na pesa inayolipwa ku majimbo kufuatana na ukatayi huo. Kina angalia vile vile msaada unao weza kupewa uchuni vijijini hasa ule wa wakaji wa kwanza (wa mbote); Kipande kya sita “Mazingira ” Kipande kinaangalia msaada kwa kuitunga Sheriya muchimu ya mazingira, inaangalia vile vile uchunguzi wa hali ya mwango (kama vile kabidiri GEEC), kuundwa kwa namna ingire ya kukatamiti ya pori inayoweza kudumu na kutumiwa fasi ya ile ya mbele. Na inayo ambatana na kuipata carbon (kukataza kukata miti vibaya na yivi hivi). PNFoCo inaweza kufanya kazi fasi yote katika inchi kunako katwa miti na kunako fanywa uchunguzi kufuatana na namna kazi ile inofanywa kwa ginsi pori na mazingira ikingwe. Hasa katika majimbo ya Equateur, Bandundu na Orientale. Mwango wa inchi unao angalia mapori na ukingo wa vyote vinavyo ishi unabedi kuipa hali nzuri ukataji wa miti inchi ni Congo Democratic. Mwango wenyewe unasaidiwa (anapewa msaada) na watu wengi wenyi pesa na vikundi vya kazi kama vile I.D.A, GEF na inchi, kama vile umoja wa Ruropa, Ugermani, Ungreza, Ubeljiji, Ufransa, Luxembourg na viv hivi … na watu wenyi pesa wanao garamia ma projects na myango inayo ukomo ule ule wa Ujermani na Umerikani. Kitaku kya Sheriya ya mapori kina ongoza mambo yote inayo angalia ktumina kwa mapori tangu mwaka 2002. Lakini vibarua vyote vyenye kukitumikisha kitatu kile bado haviya itikiwa. Tunatumaini kama vitaitikiwa baadae. Page 4 Sheriya moja yenye kuangalia ukingo wa vyote vinavyo ishi (nature) na sheriya ingine juu ya mazingira imeangaliliwa vizuri na ni karibu ikubaliwa. Sheriya yenyewe itafatwa na decret inayo angalia kujua hali kweli ya mazingira. Vyombo vya kazi vivili hivi vitaruhusu inchi maendeleo itakayo dumu na matu mishi ya vizaa vya inchi na madini. PNFoCo itasaidia mwenendo huo kwa ginsi mapori isiharibishwe, bali ikingwe. KAZI YENTEWE INAFANYIWA NAMNA GANI Kama vile tunayo juwa kazi kubwa ya PNFoCo ni kusaidia kazi ya mapori na ukingo wa mazingira; fanyiwa vizuri; kwa ginsi inchi ipate tuzo nzuri. Kazi ya kwanza, mwango unao ni ya kufanya ni ku ifahamu vizuri kazi (na) itakajo fanyiwa na vikundi vya kazi (MOD) (na offisa ya mayifinzo) vya inchi kama vile vya wigeni. Vikundi vya kazi ta tumikwa na vipande ao vipande vidogo vya mwango. Hivi vikundi vya kazi (MOD) vila weza, kwa ngambo yao, kutumika na watu vitakao chigwa kwa katayarisha na kusaini vibarua ntakao muhisu kazifanya kazi vinayopewa. Lazima ya pesa kwa kutumukisha PNFoCO ni yapata dollars milioni mia mbili makumi tano (250.000.000 iliotosha na IDA na ingine ni budget ya mfuko wa Fonds (minimum itakuwa ya yapata milioni makumi saba (7O.000.000 $US) Lakini, kufuatana na fasi inayochukuliwa na kipande hiki, kwa wata wenyi kukigarmia, budgeti hii inaweza ikaongenewa upesi. NAMNA GANI KUITUMIA VIZURI MAZINGIRA Ni serkali ndio onayo saini mapatano kufuatama na mesa inayo toshwa juu ya mazingira. PNFoCo inayo kazi ya kutumikisha vizuri mambo, yote inayo angalia mapatano na uchunguzi wa hali ya mazingira na society. PNFoCo inapewa hivi na CGES, yote itakayo faa kwa kushimika sisa ya ukungo wa mazangira. Ina onyesha wazi wazi yote wataalamu kazalika wanahitaji kufanya, kwa ku okoa mazingira na society. Ita onyesha vile vile mipango na vipimo itakayo chikuliwu kwa nia ile ile. CGES inayo nia ya kuepa kwa muda mikundi vimoja vya kazi, kama vile MOD mwezo wa kuangalia mazingira na society. MOD itakuwa na watumishi wake, ntaalamu wa mazingira, na society umoja juu ya kuonesha namna kazi inapashwa kutumiwa. MOD ni timu ya kazi itakayokuwa na Ntaalamu moja wa mazingira na mwengine wa elimu ya society kwa ginsi kazi ifanyiwe vizuri. Wale wana ongoza kazi ya PNFoCo wata fanya yote kwa kuangalia a vizuri yote inaoangalia mazingira na kujua kama watumishi wote wa vikundi vya kazi (MOD na wengine) wana elewa vizuri kazi wanaofanya. Wa taalamu wenyi kuangalia sisa yakuokoa PNFoCO watafanya yote kwa kujua hali kweli ya mazingira. Yote yenye kuangalia jamoa katika mwango huu ya lazima saana; kwa uwaziri wenyewe (namna ya kutumika …) kama vile kwa kuunda vikundi vya kazi. Ndio maana inaombwa saana projetct mbali mbali iangabie vizuri mambo ifuatayo wakati inapotayarishwa. - Namna gani kuongoza yote inayo angalia culture - Mpango wa kuwapa fasi nyipya wale walio ondoshwa migini mwao bila kutaka - Wapi kutumikisha - Siasa gani kwa wale wakaaji wa kwanza wa inchi (wa mbote) Page 5 CGES inaonesha wazi wazi ginsi ya kujua hali kweli ya mazingira inayopashwa kutumiwa, ma onesha vile vile kitambo kwa kitambo yote inayombwa na inchi kufuatana na ukingo mbali mbali unayopanyika. Kazi yote inayofanyika, inaonyeshwa mpanza wa mazingira tangu vile mambo ion pangwa mpaka vile kazi ya mwisho inayo angalia mazingira ita tayarishwa. Na vitambo vynyewe nihivi - Kapangwa kwa vipande vidogo na kaka tazwa kwa ubishi kufuatana na kupangwa huko - Uchanguzi wa ntaalamu moja kwa ginsi kazi ya E.I.E ( ) na PGE ( ) ifanyike vizuri - Kuitikiwa kwa E.I..E ( ) na PGE ( ) ilio fanyika - Kutiliwa kwa mitambo yenye kuangalia mazingira ndani ya D.A.O (……..) ao mu mapatano kufuatana na kazi eliofanyika - Uhunguzi na kuangaliliwa vizuri kwa kazi - Kazi ya mwisho ya project inayo angalia mazingira Namna kazi ya mazingira inapopashwa kuongozwa (CGES) inakipa vile vile kila kipande namna ingine nyinyi na unao punguza vinyume vibaya vinaotoka ku mwango. Tukiondosha yale naombi iliyo fanyiwa kwa kia kazi ya IEES, ma maku bwa inayo tu ruhusu kutunika kufuatana na mwenendo tulio pewa ni afwatayo. - Kuipanga vizuri kipundi kya watu (wasion pita watatu) wanaongoza project kwa ginsi kazi ya mazingira na yenyi kuangalia society ifanisiwe vizuri watu wenyewe ii. · mtaalamu umoja wa mazingira · mtaalamu wa uchuni na mabo yenyi kuangalia society · mtaalamu umoja wa wakaaji wa kwanza wa inchi (wambote) - kawajulisha wale wanao ongoza PNFoCo yote inayoweza kutukia kwa mazingira - kutumia wale waliosomeshwa na PNFoCo ndani ya kila ukusanyo utakayo fanya kazi yote inayo garamiwa na mwango - kufundishwa kwa waongozi wa jamii ya kazi kutuma yote inayombwa na CGES - lutimiza EIES ( ) na PGES kwa ma projects yote inayoweza kwa na vinyume vingi (vibaya kama vile vizuri) - kutimiza EIES ( ) kwa ginsi vibarua vya lazma vyenyi kuangalia sheriya vijulishwe na serkali na nsaidiziwa mwango. KUTUMIA YOTE INAYO, ANGALIA KUONGOZWA KWA MAZINGIRA NA SOCIETY Mayifunzo iliofanyika, kwa kuonyesha matumizi ya mazingira na ya society ni EES ( ) sio EIES ( ) na yote inayo ombwa ni ya lazma sana. Ndio naana inapashwa kutumiwa wakati kazi kazalika ya mwango itatayarishwa. Yote inyo ombwa inapashwa vile vile kitiliwa ndani ya matayarisho aa-kutimitizwa kwa vikundi vidoyo vidogo na ma projects ya PNFoC. Inabidi basi nguvu ifanyiwe kwa ginsi mambo yote ipite vizuri Ndio maana wale wenyi kuiongoza PNFoCo, uwaziri wa mazingira, ukingo wa vyote vinavyo ishi na Tourism na watu mbali mbali wanao towa pesa wa fwate vizuri ripoti ya yote inayofanywa kwa ginsi mwango na mipango inayo angalia kazi tunayo juwa ifanywe vizuri. Wingi wa pesa itakayo tuniwa kwa ku tetea, kapana nguvu ya kufanya kazi, kusaidia upande wa technic, kufanya majifunzo yenyi kuangalia mazingira na kulipa kazi ya wataalamu watatu watakao tumiza vipimo mbali mbali vilio chukuliwa kufuatana na uongozi na uchunguzi wa kazi. Vilino msimamizi Itatimbwa Dollars yapate Muda Kuundwa kwa tinu ya Mtaalamu wa inye 50.000 Mwanzo wa Page 6 maatalamu wa CCP mwango Kutetea na kufundilisha wataalamu wa uwaziri wa mazingara wa pate kujuwa hali kweli Mtaalamu wa inje na mtaalamu wa mazingira wa PNFoCo 40.000 Kuangishwa kwa mwango na yote itakayo fanyiwa na kila mfanya kazi wa inje mpya Kufundishwa kwa wasimamizi wa mazinara wasio kuwa wa mwaziri Mtaalamu wa mazingira wa PNFoCO 40.000 Mara kwa mara mwaka wa kuanza wa mwango Msaada wa inchi ya kigeni ku C.C.P. kwa mambo inayo angalia kuongoza vizuri mazingira nyezi katu kwa mwaka muda wa nyaka tano Mtaalanu asio kuwa wa uwaziri 40.000 Wakati fulani wa mwango hasa ku mwanzo Kuitimizwa kwa majifunzo Mtaalamu wa inje 1.000.000 Vitakayo ongezwa - - Kutujarishwa kwa kazi mbali mbali Mshahara na yote itakayo garamiwa na wataalamu wa inchi kama vile wa kigeni muda wa miaka tano Kufanyiwa vizuri kwa kazi ya PNFoCo 1.100.000 Muda wote wa mwango 250.000 $ Inayopashwa kutumiwa kwa mwaka kwa kufaryisha kazi ya CGES na vipimo vya kupunguza magumu Kufanyiwa vizuri kwa kazi ya PNFoCo 1.250.000 Kama ikatakiwa YOTA 3.880.000 Dokimenti ingine ya lazma yenyi kuruhusu kazi ya PNFoCo ipangwe na iongozwa vizuri kwa ginsi sissa mbali mbali ya kukinga mazingara itaijarishwe vizuri. Kila dokimenti (kibarua) kinayo budjeti yake. Fasi siasa inatumikishwa Budjeti inayo pangwa kwa ku fanya kazi Fasi siasa ya wale wanao pashwa kupewa fasi ingine (kiisha kutoshwa kwa ngwa) 1.200.000 $US Fasi inatumika 6.350.000 $US Fasi yote inayo angalia culture ina ongozwa Ile inayo pangwa kila mwaka na CGES Fasi sisa juu ya wakaaji wa kwanza wa inchi 5.100.000 $US Budjeti ya mwango kwa jumla kwa na society ni ya Ponya mazingira karibu 16.653.000 $US Page 7 MAYIFUNZA YA VIRYUME VYENYE KUANGALIA NAMNA YA KUISHI KWA WATU, MAZINGIRA LETWA NA PESA INAYOCHANGWA NA WALE WANAYO PESA (FC) NA ILE YA IDA KUFUATANA NA MWANGO WA INCHI UANGALIYA LIAO MAPORI NA UKINGO WA MWITA (PNFoCo) KUONGOZA MAMBO YENYI KUANGALIA CULTURE YA INCHI (CGPC) Page 8 NAMNA KAZI INAFANYIKA KWA KIFUPI Ni wapi na namna gani culture inakingwa (CGPC) Vyote vinavyo angalia culture ya RDC vina kingwa, lakini ukingo wenyewe sio maalumu. Daftari ya fasi yote ya lazma umetayarishiwa hivi tangu myaka inchini mwetu lakini tangu pale haiyabadirisha u kuangaliliwa vizuri. Ndio sababu fasi nyingi yenyi kuwa na samani kwa culture haijulikane tena, na hali yake vile vile. Tunajuwa kama majimbo (myimbo) ya mwango PNFoCo yenyi kuwa na samani sana inayo mahali pengi kunako patikana vitu vya zamani sana, na vya lazima sana kwa hadisi ya inchi. Lakini hatu zani kama ma projects inayo anzishwa na PNFoCo itafika mpaka kule. Mamna kazi hiyo ya culture inaotumikishwa inaonyesha kauni yenyi inapashwa ku fatwa kama fasi ile ya lazma inapatikana kilometa moja karibu. Ndio sababu mtu yule anaye mamlaka yaku fanyisha kazi ile, atabidi kuwaeleza watu, yote anahitaji kufanya, kabla aanzishe kazi yenyewe kwa ginsi kusiwe vinyume vibaya kwa fasifulani. Wakati project Fulani iko karibu sana na fasi yenye kuwa na samani sana kwa hadisi, PNFoCo inaweza ikakatao kushiriki katika kazi ile ao inaweza kuomba mtaalamu moja mwenye kujuwa jambo kama lile aje na afanye yoteitakayo takika kwa kukinga fasi ile. Anaweza akaitia mu mpango wa ku ichinga vizuri mafasi kama ile kufuatana na natunizi ya project. CPGC itaonyesha vizuri vitambo mbali mbali itakayo ruhusu mpango wa kukinga vitu vya utamaduri na namna ya ku fafanua lazima yao. Watu kama vile fasi kazi yote inayofanyika katika inchi inaonyeshwa ndani ya dokimenti hii Page 9 MAYIFUNZA YA VIRYME VYENYE KUANGALIA NAMNA YA KUSHA KWA WATU MAZINGIRA MAYO LETWA NA PESA INAYOCHANGWA NA WALE WANAYO PESA (FC) NA ILE YA IDA KUFUATANA NA MWANGO WA INCHIKWANYA LIAO MAPORI NA UKENGO WA MWITA (PNFoCo) SIASA GANI KUTUMIA KWA WALE WANAO TOSHWA FASI WANAKOISHI NA KUPELEKWA FASI INGIRE BILA KUTAKA Page 10 MATUMIZI KWA KIFUPI SIASA GANI KWA WALE WANAOTOSHWA MIGI WANAKOISHI NA KUPELE KWA FASI INGINE BILA KUTAKA (CPRI) PNFoCo nï program (mwango) ambao inchi yetu République Démocratique du Congo, itajikaza ku unda siasa yenyi kuangalia matumizi ya pori (Kukata miti) na ukingo wa vizaa vya inchi. Mwango hau ni wa myaka tano na unao vipande 6 vifatayo. Kipande kya Kwanza : Kuipa nguvu namna yaku tumika katika inchi (hasa kabisa ile ya WAZIRI wa Mazingira na ukungo wa mwatu. Forum na Institute ya ukingo wa mwitu) hii kipaniele kuangalia namna watu wanaotumika humo na waraongoza hii nyenzi wa manyumba. Kipande kya pili: Msaada utokae huku na huku Ina angalia hasa kazi iliyo fanywa pamoya na namna kitabu kya sheriya na kanurii mbali mbali hasa kiabu kya sheriya juu ya pori ina julishwa kwa watu. Kipande kya tatu 3: Ukingo wa mwitu (nature) Inaangalia ma eneo ya inchi yenye kukingwa ao ku unda ingine. Inapangwa kuizidisha maeneo ile yoliyoko kwa ginsi ifike milioni 15 ya hectometa kwa pata mwisho wa yote percenti 15 ya inchi kufuatana na kitabu kya sheriya kinayo angalia mapori. Kipande kya ine (4) Kuchunguwa na kupanga vizuri mapori inuo mazao.. Kipande hiki kira bidi ku unda mipango ya utumizi na ginsi kina bidi vile vile kuitimiza mandiko ya kitabu kya sheriya, kufundisha watu ambo wajure, kwijuhungu kazi na kuka mapori watakaojuwa kuifanya vizurkazi ya kukinga mapori na kukumu wale wanao ifanye vibuya Kipande kya tano (5) Mapori ya vijijina na yenyi kuangalia watu wengi Kipande hiki kinaangalia vinyume siasa ya mapori ya vijiji na yenyi kuwa na watu wengi vya kukatwa kwa miti ya yoteinao ambatana hiki na vinyume vile. Kama vile pesa wakaaji wanaopashwa kupewa, ujingazi wa manyumba vijijini, pesa inayolipwa na wale wa kata miti mu mayimbo. Inaangalia vile vile kazi inayoweza kufanyika kwa kusaidia uchumi wa wakaaji hasa ya wambote. Kipande kya sita (6) Kinaangalia “mazingira” hasa msaada kwa kuiandika sheriya juu ya mazingira, kufuati kwa mipango, kuundwa kwa namna inginie inayoweza ya kukata miti. PNFoCo itafanya kazi yake mu inchi, hasa mu ma jimbo ya orientale, Bandundu na Equateur. Na kazi ile itafanyika kufuatana na yote inayotakikaa kwa kukinga mapori. Mwango wa inchi wenye kuangalia ma pori na ukingo wa mazingira unao nia ya kuifanya vizuri nakwibadirisha hali ya mapori katika inchi Congo Démocratique. Mwango wenyeve uta saidiwa na vikundi vya kigeni vimaozoweya kupana pesa kama vile IDA, GEF, umoja wa mataifa ya ulaya na inchi ingine kama vile umarikani. Siasa ya PNFoCO – AGRECO yakuwapa fasi nyipya watu waliotoshwa bila kutaka migini kwao. Kitabu kya Sheriya inayoangalia mapori kinatumiwa hivi tangu mwaka 2002. Lakini kunayo misharabaka kufwatana na Sheriya ile. Tunatumairukama itaisha wakati project hii itakua ikifanya kazi yake. Sheriya yenye kuangalia ukingo wa mazingira na kitabu kya Sheriya juu ya mazingira ni karibu kuitikiwa. Itafatwa na Sheriya ndogo iaoangalia hali ya mazingira. Na vyombo hivi vipya vya kazi, inchi inaweza kwenda mbele ngambo ya uchum, kuchimba madini na kupata vizaa vingi vitakao saidia. PNFoCo itasaidia mwenendo huyu na itatia vyombo vingine vya kazi kusudi kwa mfano, mapori na ukingo wa mazingira ifanywe vizuri. PNFoCo itafata kabisa. Mazimisho ya Benki PNFoCo inapashwa kuitimia ya kuu ya dunia, hasa kabisa ponti 4.12 inayoangalia watu walio toshwa fasi waliishi na kupelekwa fasi ingine bila kutaka. Na pesa watakayo pewa na mwango. Page 11 Kila kipande wale wakaaji kinaweza hivi kupewa pesa ao vifaa kazalika kufuatana na mwango sababu wamepoteza nusu ya vitu ao vitu vyote ao haki yao ya kutumia vizaa vya inchi. Kwa mfano a) ujengeji wa manyumba unaosababishwa kutoshwa kwa watu nafasi wonao ishi b) kuundwa kwa maeneo ya pori yenyi kukingwa isio ruhusu tena wakaaji wawinde ao wa fanye uvuzi ndani ya pori lile c) ukataji wa miti unaoweza kukataza watu wasifanye mlimo ao mawindo ndani ya eneo Fulani linao julikanakwa la mtu fulani Na hii inangalia vile vile nukta ya kipande kya tano na kya sita Ripoti inafanya uchunguzi na inapimanisha yote iliyo fanyika kufuatana na Sheria ya inchi. Ina onesha kama O.P nambari 4.12 inayo tumika. Patika mwango, ni ya faida sana kwa makartasi yote ya lazinia ya inchi lakini haipingari yote nayo kuwa, kwa mfano O.P nambari 4.12 ina sena kama yote wakajii wanapashwa kupata haki yao sheria ya inchi haiseme kitu juu ya neon hili inaoanyishwara bara. Inaonyesha barabara namna gani PNFoCo na mashirika ingene kama vile ICCN, ONG, Wakatamiti mastahili kufanya kwa kufua na kulipa wana inchi wanaweza kujuwa kusaidia wakaaji walio poteza haki yao. Kwa kupata nzuri itaomba kazi ifanyike kwa umoja, na wanaonemba wote wa komiti itakayo wapa watu fasi nyipya. Inahakikisha kama kinaopashwa kufanyika ni hasa kukataza watu wasiondoshwe nafasi (migini) yao na kukoseshwa haki yao. Na mipango ya kuipata fasi nyipya kwa kila project itakayo fanyishwa. Ripoti inaonyesha wazi wazi ya kwamba yote inayopashwa kufanyanyika hasa kukataza kuondoshwa kua watu fasi wanao ishi na ku fata kabisa haki yao. Kazi inafanyika kwa kuonyesha haki inayo tumiwa na yote inayopashwa kufanyika kama haki haitimizwe. Kwa ile inaoangalia mwango ambao nia kubwa ni kuzidisha na kuitafuta majibu ; wakaaji nanaoptikana katika misharabuka kama ile wapapashwa kupewa nafasi ingine isiyo leta vinyume vibaya kwao, Kama vile ukosefu wa pesa ata ikayo kataza mwango ufanyike. Ripoti itaangalia kwa wekevu kufuatana na Sheriya (haki) kama sheriya inayo julishwa na kitibu kya sheriya yenyi kuangalia pori, vinyume mbali mbali vinayoweza kuletwa na kuundwa kwa eneo ya pori yenye kukingwa, viwanda virao katamiti. Inaangalia hivi – namna mbili ya watu wana yo pigwa na vile vinyume nakaaji watu wanao ishi pembeni ya mitoni na wale wachimba madini wasiyo kuwa na vivanda. Kitabu kya Sheriya hakitakaze kazi yote ya watu inaokinga ^pori inaikinga niaya. Hii namna ya kutumika inapanadia eneo engine ya pori ikingwe. Na watu wanoishi mule wasifukuzwe na hivi kutafuka pamoja namna gani posii inaweza katiniwa kutuniwa muda mrefu. Kitabu hiki kya sheriya kitatakaza tu mlimo ndani ya mapori yenyi kutumiwa na viwanda. Siasa hi hairuhusu watu kuishi pahali wanao taka. Ndio sababu ripoti ina chukuwa mipango tatu zaidi ya ile iliyo chukuliwa mbele. - Ya kwanza ni kujuwa lazinia ya udongo ya kila jamoa inayoweza kutumiwa kwa mlimo. Leo hii ni hectar kumi kwa mlimo na ingine ishirini kwa vizazi wita kayokuja. - Ya pili ni kujua mbele ya yote eneo gani itatumiwa kabla ya kuita wale walio napesa wali nunuwe . jua ya kazi Ripoti inaonyesha wazi wazi misharabaka inayotoka wakati wachimba madini waa ichimba ndavii ya eneo ya pori yenyi kukingwa kama vile ndani ya lile wanaokata miti. Ina onyesha kama milioni ya watu wa majimbo iliochakuliwa ndio wanalimia ao wana chimba madini ndani ya maeneo yenyi kukingwa ao kwenyi kazi ya kukata miti inafanyiwa. Kukaa kwa watu namna wanakaa kunaongeza nbovu wa mlimo kwani ni kugumu kumkataza ntu aliyezoweya kulima asichimbe madini wakati udongo hauna tena mboleo, kama vile kukataza watu wali ondoshwa fasi walio ishi na kupelekwa fasi ya sasa, ku chimba madini wakati hawangezi ku fanya mlimo ao kukata miti. Page 12 Ripoti inaonyesha vile vile kama kufuatana na kanuni ya inchi ni kugumu sheriya yawakataji wa miti (pori) ipewe wale wanao taka kuinunua eneo fulani ya pori na wale wanao ruhusiwa kukata miti fasi moja. Ndio maana ripoti inaomba neno hili liangaliwe vizuri kabla yakusimulia haki. Ingefa watu wote wenyi katikuishi yo nemo hili wakusanyike ginsi ya kutafuka namna gani wanaweza kwishi pamoja, na ginsi gani wanaweza kauatajibu kwa kila ulizo linalo waangalia. Linge angaliliwa vile vile neno na namna jipya ya kuishi ndani ya na eneo yenyi kukingwa kama vile imekwisha andikwa juu. Lakini kabla njia hii nyipya ya watu wasi ondoshwe nafasi wonao ishi bila kutaka, na kabla pesa wanao weza kupewa wakati wanao ondoshwa, ripoti ina chukuva mipango kwa inao ginsi isaidie wale wanao shikwa na magumu ao na neno kwa rafla. Naangaliwia na namna kazi inatunikuwa na namna. Yote itakayofanyika inapangwa. Kufuatana na ile inayoangalia wachimba madini ; wamoja wanao vibarua vinao waruhusu kufanya ile kazi, na wengine hawana ribarua hata kimoja. Wakimbizi wa vita na PNFoCo. Kwa ku maniza maneno kama hii upesi, 500.000 $ inatoshwa ya maeneo yenyi kuingwa na ingine juu ya pori lilio isha ku uzishwa juu ya kukata miti. Kunayo vile vile 50.000 $ juu ya kujenga manyumba. Kunayo vile vile, 50.000 $ juu ya kujinga manyumba. Bajeti yote kwa jumla ya CPRI ni ya 1.200.000 $ ya Umarekani. Kutiva CPRI ndani ya institutions, kufuata mipango ya kuwapa watu rafasi ya sasa na kuchunga vizuri haki kadae, ni kazi inayo fanya na coordination ya mwango ; hasa na ntalamu (expert) mwenyi kuangalia mambo ya security na uchumi. Page 13 MAYIFUNZO YA VINYUME VYENYE KUANGALIA NAMNA YA KUISHI KWA WATU MAZINGIRA INAYO LETWA NA PESA INAYOCHANGWA NA WALE WANAYO PESA (FC) NA ILE YA IDA KUFUATANA NA MWANGO WA INCHI UNAO ANGALIA LIAO MAPORI NA UKINGO WA MWITU (PNFoCo) FASI GANI INATUMIKISWA (CF) Page 14 MATUMIZI KWA KIFUPI – FASI GANI INATUMIKISWA (CF) Project ye inchi ya pori na ukingo na mazingira inayo nia ya kasaidia inchi RDC: Kusimamisha yote inayofaa kufuatana na sheria ya inchi na mazao ya watu kwa kuipa inchi namna yote ya kuwa na siasa nzuri ya mazingira, pori na ukingo wa mwitu, kufuatana na wingi wa mazao ya kila aina inayopatikana inchini mwetu. Matumizi ya mipango ya pori na yote inao angalia matumizi hiyo. Kwa kifupi, kanuni yenyi kuangalia pori. Kulinganisha maeneo yote yenyi kukingwa na kuipanua hutari milioni kumi na tano hivi. Kuvumbua nanma ingine ya kutumia mazao ya inchi kwa kuzidisha maisha ya mazingira. Project hii itagaramiwa na watu mbali mbali wenyi pesa, na Benki kuu la Dunia ambayo matumizi na PNFoCo itakuwa namna moja fasi yote kwa ujio mwema wa society na mazingira. Fasi gari inatumitikiswa. Kama vile inayosemwa katika documenti hiyi ina angalia ipimo mayo vinayo pashwa kuchukuliwa kila wakati project ya PNFoCo inaanza kwa ginsi raia weye kuishi kando kando wa si poteze kaki yao, kufuatama na mali inayo patikana kando pale. Hiyi yote inaomba kazi mbili kubua ianyiwe. - Kukatwa kwa niti (kufwatanana vibarua mbali mbali kama vile - titres reconvertis non concrets, titre obtenus par adjudication) - Kuundwa kwa eneo ya pori yenye kukingwa aa kuradily kurudilya vizuri ile ya zamani Fasi gani inatumika ni mbali mbali na fasi ya sasa inapashwa kutumika sababu fasi hiyi inaangalia raia wengi wenyehuishi kwishi pale. Na wenyi kuwa na jicho lao juu ya ginsi mali inatumikiswawa. Ni kwa ajili ya hiyo ndio ni kugumu na inaomba pesa mingi kuwapa wale raia vyote viranyo faa kwa ginsi wapate namna ya kujitegemea wakati project kama ile inawa rudisha maskini. Ndio sababu fasi ya kutumikia itatafuta kwanza namna raia wale wanapashwa kujiunga nao tangu mwanzo wa project na kutafute hi ginsi gani wana weza kukataza mali isichugulive vibaya. Wakati namna ingine yakuchukuwa mali inatafutika, ni kwa kweli. Kwale raia wenye kuishi kando kando ya fasi kama ile wana anza udongo wenye ra mbolio ba mlino, wanakosa vile vile nyama ya kuwinda porini, na samaki katika mito. Eneo ya pori yenye kukingwa kama vile ile ya zamani, iniapashwa hivi kutafuta pamoja na raia wenye kuishi kando kando ; namna gani wonapashwa kukutana ju ya kuvunbua na hivi kutumikisha ginsi nyipya yaku tumua pea ile, bila kaharibu sana mazingira. Kwa hiwi inabidi mambo yote yapite katiki nasikilizano kwa ginsi raia waongeze kuishi vizuri katka ukinya. Lakini sio maene yenye kukingwa kama ile ndio I.C.C.N. inatafuta. Namna ya matumizi (kutumika). Kuisha kuonesha namno PNFoCo inapashwa kutumiya, yaani wale wote wanaopashwa kutumika ndani mwake (waongozi wa kazi mbali mbali watalana sociology, nsimamizi wakazi ya mazangira, namna inatunikishwa, na mtaalanu mwenye kuangalia wakaaji malumu wa muji (CGES) atakale shiriki kwenyi kazi yoyote itakayo fanyiwa kufuatana na mipango, mbali mbali na namna kazi inapashwa kutumikwa. Na upande wa kila project inayo letwa kunapashwa aaundwa yale na komiti yatakayo angalia namna ya matumizi vizaa vya inchi. Ma Komiti ile itakuwa na watu wafatao : wasimamizi wa vikundi vyote vyenye kutumika naani ya project hii, na msimami hivi mikusanyo ya nasikilizano. Mikusimyo ile itasaidiwa kwa kazi kubwa yenye kuangalia uchuni wa miji na technique, itakuwavile vile na kazi yak u fanya mipango ya kazi kwa kukataza vya vizaa, PARAR ambayo kazi kubwa ni kutafuka ginsi ingine ya kupata kutumia vizaa vya inchi. Ginsi ile itaangalia hasa mawindo, uvuvi na kuchuna matuwola, kufuatana na kanuni mbali mbali, vibindi uzazi wa wanyama na kufanya yote kwa ginsi yote famywe kufuatana na kanuni. Page 15 Kwa ile inayoangalia (mlimo) kuna kanuni yenyi kukataza uharibifu wa nazingira. Ni vizuri ifatwe vizuri kwa ginsi ijulikane na ipimwe na watu wengi. Lakini tujuwe kama namna hii ya kutumika haina vile ginsi ingine ya kaka haizoweje ku furahisha watu wole kwana mara ingine watu kupashwa kutoshwa pahali wanapo ishi nakwerda fasi ingine. Vinyume ni vingi hasa kwa wakaaji naalumu wa niji. Kwa mfano kukataza watu wasifanye mlimo fasi fulani sababu imekwisha nunuliwa na watu wenye pesa ju ya kufanya mbao itaomba wale watu walipwe. Lakini hapa tunasema juu ya mafasi isiyo kuwa na wakaaji wengi na pesa ya kuwalipa inaweza bila shaka kulipiwa na wale watu venye pesa wanao nunua enco fulani ya pori. Hapa ndio namna ya kutumika inaonesha barabara nini inayo pashwa kufanywa. Namna ya kutumika inaonesha vie vile vikundi viwili vya wale wanao vizaa vya inchi : ya kwanza ni wachimba madini ; na ya pili ni wakimbizi wa vita. Watu hawa, hawa wezi kutoshwa fasi wanapio ishi kabla mufanye yote kwa ku sikilizana nao, wabidi tu kuwapa nashauri inayoangalia, uharibifu wa vizaa vya inchi (Fasi kama hiji ni nyingi laku si kubwa) Hili angalie PNFoCo wala PNFoCo haina pesa ya kutimiza neno kama lile. Ndio maana namna ya kutumika ina badget ya 6.350.000 US kwa - kutumikisha (fanyisha) majifunzo yenye kuangalia ujio mwema wa watu, uchumi, mbele kazi yote yenye kuangalia nanma ya kutumika pamoja ifanyike - kuwapamkone (kuwasaidia) wale wote wenye kutumika porini (ICCN, wakata miti, ma ONG) wakati wanayo magumuu kufuatana na Kazi yao - Wale wakaaji wenye migi tangu myaka Page 16 MAYJIFUNZO YA VINYUME VYENYE KUANGALIA NAMNA YA KUSHI KWA WATU NA MAZINGIRA INAYO LETWA NA PESA INAYOCHANGWA NA WALE WANAYO PESA (FC) NA ILE YA IDA KUFUATANA NA MWANGO WA UNAO ANGALIA LIAO MAPORI NA UKINGO WA MWITU (PNFoCo) KUJUA HALI MUHIMU YA MAZINGIRA (E.E.S.) Page 17 YATAKAYO FANYWA KWA KIFUPI – KUJUA KWELI YA MAZINGIRA KAMA VILE INASTAHILI KUWA Hali kweli ya mazingira leo (PNFoCo) ni tunda ya uchunguzi wa mazingira ulio fanyiwa na wataalama wa inchi kama vile wa inchi ya Kigeni walio saidiwa na timu la wataalana wengine wa hali ya juu.. Kazi inyewe imefanyiwa kufuatana na hali ya fasi mbali mbali ilio tayarishwa na dokimenti ya kazi mbali mbali na chungizi ulio fanyika na wataalamu na raia wanao patikana katika mayimbo iliyo chaguliwa. Mazao ya kazi hiyo, imetiliwa katika kipande kilio, itwa “KOSA”; Msinzi wa mambo yote iligoleta kosa. Msinzi wa mambo yasigomekana na inayo pewa barabara mu dokimete ndogo inayoleta ginsi nyiçngi ya kupunguza nguvu yake wakati wote mipango na miango kazaa inapashwa kuchukuliwa. Uchunguzi ulio fanyika ulionesha ngambo mbaya ya hali ya sasa kama vile. - Kutojuwa uzuri wa eneo yote inayokingwa inayo julikana, wa nyama vududu, na mimea inao patikana humo, hairuhusu kufanya kazi inayopashwa kufanyiwa kwa ukingo unaofaida. - Watu wanaoishi kando kando ya pori hawa juwe haki yao ili wapate kupewa ile wanao stahili kupewa kufuatana na ile inayosemwa katika kitabu kya Sheria (inye) langaliao pori. - Wa nyama, vidudu na mimea inahatarishwa leo na watu wanao nunua eneo fulani ya pori kwa kufanya kazi yao ya mbao; inahatarishwa vile vile na migrations ya watu wanao tafuta kazi. Inaonekana vizuri kama hii yote haiwezi kwisha kama watu wenye pesa watazidi tu kununua vipande vya pori kwa kukata miti juu yakupata mbao na vivihivi. - Kuneonekana vile vile vinyume vibaya vingi wakati wale wakatamiti wanapewa vibarua vile vile virayopewa wachimbaji wa madirii ndani ya eneo moja ya pori. Kuna vile vile walimaji wanao zidi tukulima ndani ya eneo inayoisha uzishwa. Vinyume vingine vibaya kufuatana na neno lile, vimekwisha kujulikana. Ndio maana majitaza kutumika vizuri na PNFoCo kwa ginsi vinyume vile vipunguke na mipango ichukuliwe kama inavinyo (faa) stahili. Itafaa vile vile, kwa ginsi ripoti hii itumiwe vizuri, wale wataalamu wenyi (hutu) –mika) kusimamiya nyango na projects mbali mbali wafanye nguvu yao yote kusudi majifunzo kazalika inayofanyika iangalie vizuri mipango na yote inayotakita kwa kutayarisha na kuongoza mwango vizuri. Page 18 MAYIFUNZA YA VIRYME VYENYE KUANGALIA NAMNA YA KUSHA KWA WATU MAZINGIRA MAYO LETWA NA PESA INAYOCHANGWA NA WALE WANAYO PESA (FC) NA ILE YA IDA KUFUATANA NA MWANGO WA INCHIKWANYA LIAO MAPORI NA UKENGO WA MWITA (PNFoCo) KUJUA HALI MUKIMU YA MAZINGIRA YATAKAYO FANYWA KWA KIFUPI – KUJIUA KWELI YA MAZINGIRA KAMA VILE INASTAHILI KUWA Hali kweli ya mazingira leo (PNFOcO) ni tunda ya uchunguzi wa mazingira ulion fanyiwa na wataalamu wa inchi kama vile wa inchi za kigeri walio saidiwa na timu la wataalamu wengine wa hali ta juu. Kazi inywe imefanyiwa kufuatana na hali ya fasi mbali mbali ilio tayarishwa na dokimento ya kazi mbali mbali na uchunguzi ulio fanyika na wataalamu na raia wanao pati kama katika majimbo iliyo chaguliwa. Mazao ya kazi hiye, imetiliwa katika kipande kulio itwa « KOSA ». Msinzi wa mitembo yote iligoleta Kosa. Msinzi wa muambo yasi yo onekama na inayopwa barabara mu dokimenti ndogo inayoleta ginsi mujingi ya kupunguza nguvu yake wakati wote mipango na miango kazaa mapashwa kuchukuliwa. Uchunguzi uli o fanyika ulionesha ngambo mbaya ya hali ya sasa kama vile. - Kutijuwa uzuri wa eneo yote inayokingava nayojulikana, wa nyama vidudu, na mineo inao patikana humo, hairuhusu kufanga kazi inyopashwa kufanyiwa kwa ukingo unaofaida - Watu wanaoishi kando kando ya pori hawa juwe haki yao ili wapate kupewa ile waneo stahilikupewa kufuatana na ile inayosenuva katika kitabu kya Sheria (iyne) inangaliao pori - Wa nyama, vidudu na mimea inahayarishwa leo na watu wanao munua eneo fulani ya pori kwa kufanya kazi yao ya mbao ; inakatarishwa vile vile na migraion ya watu wanao tafuta kazi. Inaonekana vizuri kama hie yote haiwezi kuisha kama watu wenye pesa watazidi tu kununua vipande vya pori kwa kukata miti juu ya kupeta mbao na vivihivi. - Kuneonehama vile vile vinyume vibanja vingi wakati wale wakatamiti wanapeya vibarua vile vile virayopenza wachimbaji wa madiri ndani ya eneo moya ya pori. Kuna vile vile walimayi wanao zidi ta kudima ndani ya eneo inayikwisha uzishiwa. Vinyume vingire vibaya kufuatana ha neno bile, vimekwisha julikana na PNFoCo kwa ginsi vinyume vile vipunguke na mipango ichukuliwe rama inavyo (faa) stahili. Itafaa vile vile, kwa ginsi ripote hiii intunuive vizuri inale wataalamu wenyi (kutu) (mika) kuvimariya myango na projects mbali mbali wafanye nguvu zao yote kusudi majifunzo kazalika inayo fanyika iangalie vizuri mipango na yote inayotakita kwa kutayvisha na kuongoza mwango vizuri. Page 19