1 SFG1589 V2 REV Version Swahili MFUMO WA KUONGOZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII (CGES). IMETUNGWA JUU YA MRADI WA KUSADIA JAMII ZINAZOISHI KWA MISITU (PACDF). � Mzunguko wa mambo ifwatayo Hii mipango ya matumizi bora ya mazingira na majamii (CGES) inaimarishwa kwa Mradi wa kusaidia jamii wanaoishi na mitu (PACDF) ambayo serikali ya Congo initarajia kutekeleza kwa msaada wa Benki ya Dunia. Lengo yake ni kuanzisha miongozo kwa kuhakikisha uteuzi, matezamo na kubaliwa kwa miradi ndogo ndongo maana itimizwe ikipatana na sheria na kanuni za kijamii la taifa na maamuzi ya ukingo wa mazingira la Benki ya Dunia. Hii toleo la CGES imeingiza machunguz i na maoni yaliyotolewa na timu ya maandalizi ya mradi katika rasimu ya machi 2015. Utungo wa hii mipango (CGES) umeshirikisha mgini Kinshasa wote wanaohusika yaani masimamizi wa bunge, wajumbe wa wazawi na wa jamii za mitaa. Mkutano hiyo ilikusanya maono mbali mbali ya masuali juu ya hali ya jamii na kutezama vikwazo iwezayo hatarisha kutenda maendeo. � Fwatiliyo, wafaidizi na vipindi vya mradi Lengo kuu ya PACDF kuhusika na mpango wa uwekezaji wa misitu, ni kuisaidiya inchi katika juhudi yake ya : 1. Maendeleo kwa kupunguza matokeleo ya ukataji wa misitu ama kuyaharibu, na kuongoza matumizi bora na ya kudumu ya mitu. 2. Kuimarisha akiba ya kaboni ya misitu (carbone forestier, REDD+) lengo ya maendeleo ya PACDF ni kuzidisha uwezo ya PA-COLO ya eneo 16 ili waweze kujiongoza, kuambatana na kutimiza amzi ya REDD+ na mpango wa uwekezaji wa misitu mahali mwao na nchini pote, pia waweze kufaidika bora peke yao. Walengwa wa mradi ni : - Kwa eneo ndogo : wa PA-COLO na miji ndogo katika eneo 16 tunazofwatilia. Masemi PACOLO inatambulisha wazawa na wanajamii wanaoishi kandokando wakichangiya desturi na mila (ambamo matukio ya kidini), shurti ya maisha (hasa uwindaji). - Kwa eneo la taifa : kufwatana na sekta ndogo zitakazo saidiwa na feza ya mradi, mamlaka kama vile wizara ya mazingira na maendeko ya kudumu, wizara ya mambo ya madogo, wizara ya wanawake, wizara ya mlimo, wizara inayohusi ka na vijana. PACDF itadumu miaka mitano ikitumikisha bajeti milioni sita dola ya Marekani. Ina sehemu tatu na sehemu ndogo sita. - Sehemu ya 1 : kuimarisha, jukumu la PA-COLO katika endelesho REDD+ • sehemu ndogo la 1 a. kazi za kuinuliwa katika eneo la taifa. 2 • Sehemu ndogo la 1 b. kazi za kuinuliwa katika eneo ndogo. - Sehemu ya 2 : masaidizi kwa maendeleo za kazi za uchumi na utumizi bora wa uchumi ya inchi. • Sehemu ndogo ya 2 a. maendeleo ya maisha mbadala na shughuli za kuzalisha kipato. • Sehemu ndogo ya 2 b. kupata haki kwa PA-COLO kutumia udongo - Sehemu ya 3 : uratibu, mawasiliano, ufuatiliaji na mapimo. • Sehemu ndogo ya 3 a. uratibu wa mradi • Sehemu ndogo ya 3 b. ufuatiliaji, mafikiri na usimamizi maono kwa kuchambua feza itakapotumikishwa na PACDF, inaonekana kuwa kutekeleza sehemu ndogo 2a na 2b itaweza kusababisha : 1. Mirija ine ya ukingo wa mazingiza, yaani PO/BP4.01 juu ya kuchunguza mazingira, PO4.04 juu ya makaaji ya kizamani, PO4.11 juu ya rasilimali halisi za kiutamaduni , PO4.36 juu ya misitu; 2. Mirija mbili ya maendeleo ya kijamii ambayo PO4.01 inayohusu wenyeji na PO4.12 juu ya uhamishwaji wa hiari. Mipango na vitendo vya kipele vinatolewa katika CGES hii, pia katika mfumo wa kazi na mafasiliyo inayo ongezwa, kwa kupiganisha mapingo hayo. � Pahali na hali ya maisha tatika eneo yahusika na mradi Eneo la mradi inashurilikiya mikoa mine na wilaya sita (Bandundu : Kiri, Oshwe na Inongo; Orientale : Opala, Banalia, Bafwasende, Yahuma na Mambasa ;Kasai Orientale : Lupatapata, Lusambo, Lubefu, Lubao na Kabinda; Kasai Occidental : Dimbelenge, Mweka na Dekese). Uchunguzi imefanyika juu ya hali ya eneo na uchumi ya watu huko, hasa kuhusu wazawi na majamii zinazoishi na misitu katika RDC. Hali ya miji hiyo iliweza kutambulisha matatizo ya mazingira (mizozo na uchumi, kuharibu misitu, mumonyoko wa udongo, na kijamii, migogoro ya asili ikiwemo udongo, umaskini. Ni hayo yote itapinga mradi. � Mangojeo katika hali ya maisha kijamii na mazingiza la mradi - Mangojeo halisi kuu : kusonga mbele ya maongozo- pekee, utambuzi wa utawala wa jamii itakazamisha mafikiri katikati ya wa PA-COLO juu ya uhifadi wa mazingira, viumbe hai, huduma za kimazingira na madili ya kitumaduni. Uendelezaji wa maisha mbadala na shuguli za kuzalisha kipato itapunguza kuyaangamiza miti na mashamba, hasa kunako viwanda vipya. Itaongeza pia uwezo wa PA-COLO na msaada wa NGOs zinazohusika na utawala bora, kuboresha kutowa ya udongo na kuotesha pori. Kuhakilisha matumizi ya udongo wa PA- COLO, itaruhusu ifadi ya viumbe hai na uboreshaji wa mazingira na shamba za misitu katika mitao mpya ya mradi, na kushurulikisha wa PA-COLO kwa matumiyo bora ya uchumi wa misitu. - Matokeo mbaya ya zingira na maepuko : uendelezaji maisha mbadala na shughuli za kuzalisha kipato itaweza kushawishi wenyi kuifaidia kuongeza eneo la kilimo 3 na hivyo kuzidisha uvuo wa pori, hapo inaombwa kutekeleza mpango wa ukanda, gawo la udongo ya eneo na ya mtaa. Yaomba pia kuelimisha wakaaji wasiongeze nafasi ya mlimo. - Matokeo bora ya hali kijamii: uendelezaji ya maongozo-pekee, utambuzi wa utawala wa jamii itaweza kulindisha bora udongo wa PA-COLO na kuwaweka kujitetea na kuhusika ukingo wa mitaa zao; itawaongeza kushirikiana na kukazanisha masimamizi zao. Uendeleshaji wa maisha mbadala na shughuli za kuzalisha kipato itaweza kuongeza uchumi wa PA-COLO yaani uweza wa kifeza na nguvu ya kujilisha kwa mashamba na matoo ya pori, isipokuwa miti. - Machumi za jamii PA-COLO, uwezeshaji wa wanawake vijijini, maono ya mke katika ujamii, uinuo wa elimu na mlimo ya kibabu. Ukingo wa haki ya matumio ya udongo wa PA-COLO itasaidia katika magao ya udongo, kukomesha makao pasipo sheria mahali ya mwitu, maongozi bora ya kudumu, katika viwanda, na kuwezesha wa PA-COLO kupata matoo ndogo isipokuwa kukata miti. Ukingo huu tena ni namna ya kulinda na kushurulikia viwanda vyenyi mambo ya kiasili na akiolojia. - Matokeo mbaya ya hali kijamii na maepuko : maendelesho ya uongozi-pekee ya majamii za mitaa itaweza kuingiza kisiasi kakika hutuba ya maombezi juu ya ukingo wa ndongo. Kwa hiyo, inaombwa kuyaepuka mambo yote ya wadari wa kitaifa baadi ya uhusiano wao wa kisiasa. Kuna tena hatari kwa wa PA-COLO wasiyoposaidiwa na mradi, kupata wivu na hivyo kuanzisha NGOs ya kuwapiganisha wa PA-COLO wenyi kutumikiya mradi. Ndivyo itaombwa wa NGOs waliyo tumika na PA-COLO hadi muda wa miaka mbili, wao tuu wawekwe kazini, na mipango ya ukingo itawekwa kwa kuhakikisha uendeleo wao. Uendelezaji wa maisha mbadala na shughuli za kuzalisha kipato itaweza hatarisha kuzalisha migogoro ikiwa wanagawa kwa ubaguzi feza ya kazi. Ndivyo itafao kuinua matukio ya mitao ya kuamua magomvi (CLCD,CGCD,COCOSI) zilizopo au kuundwa kwao kwa upande hazipo. Kupata haki ya matumizi ya udongo wa PA-COLO itaweza kusahabisha hatari ya kukataza uchumo Fulani fulani katika APAC zinazojulikana, na kuza migogoro ya uongozaji wao. Mfumo wa kazi ulifanyika kwa hiyo. Na tena inatolewa mpango wa kutekelea kizuizi cha upatikanaji wa mali (Prar) katika eneo lote linalohusika na wa faidizi PA-COLO inaombwa pia oroda ya rasilimali ya unyonyaji ndogo isimamishwe kunako eneo hizo ya kukamilisha haki. � Uendeleo wa uteusi wa kimazingira na kijamii ya miradi ndongo Mchakato wa uteusi wa kimazingira na kijamii yaani uchunguzi itasaidia kuchambua na uazishaji wa miradi midogo midogo, na hiyo itawezesha kuamua makundi ya kimazingira na kijamii ya shuguli PACDF ni miradi wa jamii B wa Benki ya Dunia.hivyo, miradi midogo midogo katika kundi A haziwezi kuteuliwa kwa kupewa feza ya mradi huu. Mchakato itatembezwa na Meneja wa mazingira na kijamii (RES) akiajiriwa muda kamili, ambaye atasaidiwa na watu ine (PFRES) wa mazingira na kijamii wakiajiriwa kwa muda mufupi na ikiwa mmoja kwa bandari. Usimamizi wa nje utafanywa na timu FIP kufwatana na kazi zao juu ya mpango kamili PIF. 4 � Hatua za kuimarisha uongozi wa mazingira na jamii ya mradi Usimamizi wa mazingira na jamii ya shughuli za mradi inahitaji hatua za ku imarisha taasisi, kinfundi, habari na uhamasishaji, mafunzo, ufuatiliaji/ mapimo, inayowekwa katika kitabu hii. RES na wa PFES, ujumbe wao ni kuhakikisha zingatio za kijamii na masuali ya mazingira katika utelekezaji wa mradi. Watatumika kwa karibu na REPALEF. Mpango wa kutekeleza kizuizi cha upatikanaji wa mali utafanywa kunako eneo zote za mradi kwa kurasimisha utawala wa jadi wa jamii, kufwata na sheria za kitaifa kuhusu mazingira na uendeshaji wa Benki ya Dunia. Mradi huu utaanzisha mpango wa kuelewa habari kwa PA-COLO na mashirika yao isiyo ya serkali, inayowaandama. Kutaoneshwa hatari za mazingira na kijamii ya miradi ndogo ndogo itakayo anzishwa na mchakato wa ushirikiano, utoaji wa mikopo na kutofuata na kutimiza ahadi ya vikundi mbali mbali. Mpango wa mafunzo itazingatia tatimi ya mazingira na kijamii kunako miradi ndongo ndogo, matokeo ya kizingira na kijamii, mabadiliko ya tabia nchi, matumikiyo kawaida ya maliasili. � Mipango ya taasisi kwa utekelezaji wa hatua ya kulinda. Utekelezaji wa hatua za kijamii na kimazingira itatumizwa na PA-COLO wafaidizi, wakisaidiwa na NGOs zao za ushirikiano. Ufuatiliaji wa ndani utatendeka na RES na wa PFES wa miradi, ufuatiliaji wa n je utafanyiwa na wakala wa mazingira wa Congo, taasisi ya uchungo wa mazingira ya Congo na shirika la Uwekezaji la misitu lililo tunga mradi huu, na Benki ya Dunia kwa njia ya ujumbe wake mara kwa mara katika msaada wa utekelezaji. Ukaguzi mbili wa kijamii na kimazingira utafanyika, moja katikati ya matimizo ya mradi yaani robo ya kwanza ya mwaka wa tatu, ya pili, katika robo ya tatu ya mwaka wa tano ya mradi. � Bajeti ya utekelezaji wa CGES. Bajeti kamili ya CGES ina hatua za kiufundi, uzidisho wa uwezo na ufuatiliyo bajeti hii inakadiriwa kuwa dola ya Marekani 675.400, ikiwa 11% ya jumla ya bajeti PACDF yenyi dola milioni sita ya Marekani. 1 Version Tshiluba MUKANDA WA BULOMBOLODI BWA METU NE BANTU MUENZA BUA KUTUA MPANDA KUDI BENA DITU NANSHA BADI BATU BASOMBA MU DITU (PACDF) • Bua tshinyi dilonga edi Mukanda wa bulombolodi bwa metu ne bantu eu muenza bua kutua mpanda kudi bisamba bia bantu bidi bisomba ne bidila mu metu badi bukelenga bua bena congo basue kuzua ni dikuatshisha dia Banque Mondiale. Tshiena bualu ntsha kuenza meyi njila adi aleja disungula,diteta ne ditaba dia projet mikesa ni diyenza ua se ikale mikumbanangana ne tshididi, meyi ni mikandu a ditunga bidi bilombola bulami bua metu ne bantu badi basomba mu metu mena, popamue ne ndongeshelu wa Banque Mondiale. Mu kakanda aka musangibua majinga ne tutoba tua bana betu bavua benza mudimu wa nzanzanza wa projet wa ngondu muisantu wa tshidimu 2015. Difunda dia kakanda eka ndilomba nganyi ya bantu babunyi basangishibua ku Kinshasa, bena bualu mena butudi tuakuila, bamanyi bajalama, batumibue ni bindonda buabu bia bisamba bia ba kamona mbedi wa malaba pamua ne bisamba bia bena buloba. Dipeshanganyi dia ngenyi edi divua dianzeka anu bua se diela dia meji dia muntu ni muntu yonso udi ubadishibue mu bualu ebu budi butangila nkubilu wa metu ni bipolo bia malaba dimanyika ; ni kujungulula pimbe malu adi mua kuenza ni mudimu wa bulongolodi ebu kabuyi kumpala to. • Tshipatshila, Basambuiba ni bitupa bia bulongolodi Tshipatshila tshinene tsha PACDF mu bulongolodi bunene bua diela dia lupetu mu bidi bitangila metu mbua kuambuluisha ditunga bua : (i) kuyadi kumpala, mu dipuekesha dia luya difumina mu dikosa ni dijikija dia metu, bukubi bua tshikondu tshile tsha metu ; ni (ii) diuwuja dia tshibutshilu tsha carbone, anyi lupepe luimpe lua muetu (REDD+). Tshipatshila tsha buyishi bua kumpala bua PACDF mbua kutua mpanda ku makokeshi a PA-COLO a bimenga anyi territoires dikumi ni isambombo bua kumona kua dipepeja dia didifila diabo mu mudimu wa kuenza bididi bia REDD+ ni midimu ya bulongolodi bunene bua diela dia biuma mu bidi bitangila metu mu bimenga bikesa kabidi ni mu ditunga dionso dijima bua kumona bua se bapola bimuma bimpa. Basambuiba ba bulongolodi ebu mu bimenga bikesa badi ba PA-COLO ni tusumbu tua tukese kese tua mutusoku soku tudi mu bimenga dikumi ni bisambomo bidi bisungidibua. Padibu babikila PA-COLO mbasua kuamba ba kamona mbedi ba malaba ni bisamba bia tusoku soku tudi njinga njinga. Badi ni bikadilu ni bienzedi bimue (to ni ntendelelu imue), mishindu ya ndilu imue (misombela buteyi bua nyama). Bua kutangila ditunga, bilondeshela bunyi bua tulombolodi tukesa tua kupeshela biuma, basambuiba ba bulombolodi badi midimu minena ya mbulamatadi, bu bukelenga budi butangila malu a bukua mpata (Ministère en charge de l'environnement et du Développement Durable), bukalenga budi butangila malu a malaba (le Ministère en charge des affaires foncières), makalenga adi atangila malu a ba ngina mbanza (le Ministère en charge des femmes), adi atangila malu a madimi (le Ministère en charge de l'agriculture), ni adi atangila malu a bitenda (Ministère en charge de la jeunesse). 2 Bulongolodi ebu bua PACDF budi buenzeka mu bidimu bitanu ni lupetu luabu ludi lua million isambombo ya dollars wa amerique. Lupetu elu luabanya mu bitupa bisatu ni tutupa tukesa tusambombo (i) Tshitupa 1. Ditua nyama ku mikolo ya PA-COLO mu mudimu wa REDD+ : katupa 1a : mudimu wa kupingajila bantu bokokeshi buabu mu ditunga ni katupa 1b : mudimu wa kupingajila bena tusoku tukesa bukokeshi buabu kabidi ; (ii) Tshitupa 2. : Kutua kua nyama ku mikolo bua diya dia kumpala dia malu a bubanji ni dishindikai dia mabanji a pa buloba. Katupa 2a : dikebulula dia ebi bidi mua kuenza ni bantu banenga pa buloba bipita diambedi ni midimu idi mua kubapesha lupetu. Katupa 2b : bukubi bua bukokeshi bua ba PA-COLO bua kuenzela malaba abo ;(iii) : Tshitupa 3 : Diteka dia bantu ni bintu bia mudimu kaba kamua mu bulongolodi, ditangalaja dia ngumu, dilondoshela ni diteta dia mudimu : katupa3a : Diteka dia bantu ni bintu bia mudimu kaba kamua mu bulongolodi, ni katupa 3b : , dilondoshela ni diteta dia mudimu ni kuenzela majinga a bantu. Bua ditangila bimpe mushindu wa kuabanya lupetu ludi lulongodibua bua PACDF, bidi bimueneka se dienza dia mudimu ewu wa tutupa 2a ni 2b didi mua kupatula : (i) bididi binayi bua bulami bua mitshi ne metu : PO/BP 4.01 mutangidila diteta dia mudimu, PO 4.04, bitangidila miaba ya dilala ya bantu, PO 4.11, bitangidila bubanji bua dimanya, nsombelu didikuba,dienza dia bimfuadi ni mianda kabukabu, ni PO 4.36 butangila metu ; (ii) : Bididi bibidi bia kuyisha nsombelu mulenga kumpala popamue ne PO 4.10 utangila ba kavula mbedi ba buloba ni PO 4.12 utangila penda dibueja dia kumakanda. Mu CGES emu, mbateka patoka mikandu ni midimu idibu bua kuenza ni mu mukanda mukuabu udi wenda ni ewu (cadre fonctionnel) bua kuandamuna ku majinga wonso. • Tshimenga tsha bulongolodi ebu tshidi tshi mueneka bishi. Tshimenga tshijima tsha bulongolodi ebu tshidi mu province inayi ni territoire dikumi ni isambombo (Bandundu : Kiri, Oshe ni Inongo. Oriental : Opala, Banalia, Bafwansende, Yawuma ni Mambasa. Kasaî-Oriental : Lupatapata, Lusambo, Lubefu, Lubao ni Kabinda ; Kasaï Occidental : Dimbelenge, Mweka ni Dekese). Tshitupa tshonso tshia bulaba tshidi tshitangila bulongolodi ebu tshakalongibua bimpe mu bukesa buatshi ni kabidi disu dishala ditangila nsombelu wa bambedi bena bulaba ni bisamba bionso bidi bisombela mu metu mu ditunga edi dinene dia Congo wa Mungalata. Dilonga edi diapeshi njila bua kujungulula mianda yonso idi mu metu ni mabanji a muitu. (Dikebulula dia bubanji, dikosa dia metu, mbuwa, etc.) ni nsombelu wa bantu (matandu a mishindu yonso tshilejelu difuila dia malaba, bupela, etc), mianda idi pitupa bia bulongolodi ebu bua kupetakana nayi. • Bipodibua bia bulongolodi ebu mu nsombedi - Bipodibua bimpe bia bulongolodi ebu bitangila malaba ne metu : buitabi bua didilombodi dia bena metu didi mua kufikisha bambedi bena buloba ni bisamba bionso bia metu (PA-COLO) kudimanya dia kulama nyama ni mitshi miaba idibu basomba, bukua nyama ni bukua mitshi, midimu idi ne bukokeshi bua kulama biumvuangana dia bantu ni bionso bidi bibela munkatshi, popamua ne bubanji budi butangila meji, midimu ya meji ni ya bianza, kuenza kua tubondu ni bimfuani. Dikebulula dia ebi bidi mua kuenza ni bantu banenga pa buloba bipita diambedi ni midimu idimua kubapesha lupetu, nidipuekesha dikebulula dia mabanji adi afumina mu dipana dia mitshi ni dienza dia madimi mapiamapia. Ditua dia mpanda mu makanda a ba PA-COLO ni ba ONG idi ibenzeja mu dimanya dia 3 kudilombola, kufukisha bulaba bua madimi, ni dipingaja dia metu. Bukubi bua bukokeshi bua ba PA-COLO bua kuenzela malaba abo ne bufila njila bua bukubi kulama nyama ni mitshi miaba idibu basomba ni diakaja dia metu adi mu tshimenga tshena bualu butudi nabo ebu, ni tshikala kabidi mushindu wa kupingajila muntu yonso bujitu ni kokoka ba PA-COLO bonso mu bulami ni mbutshilu wa metu abo. - Bipodibua bibi ni mikandu bitangila malaba ne metu : Dikebulula dia ebi bidi mua kuenza ni bantu banenga pa buloba bipita diambedi ni midimu idimua kubapesha lupetu didi mua kuenza ni bantu badiundisha madimi abu, ni bakosa kabidi metu. Bidi bilomba bua kuenza ni kunemeka bitupa bia metu bidi muntu kayi mua kulenga ; Kuambila benji ba midimu bonso bamanya mikalu ya malaba a kudima. - Bipodibua bimpa bitangila nsombedi wa bantu : Buitabi bua didilombodi dia bena metu didi mua kufikisha bambedi bena buloba ni bisamba bionso bia metu budi mua kufila njila ku dikuba ne dilama dimpe dia metu ni malaba, kutua mpanda kudi ba PA-COLO mu diangata dia mapanganika bua bidi bitangila malaba abu, mu disuika popamue, ni dileja dia mpala umue mu ditunga. Dikebulula dia ebi bidi mua kuenza ni bantu banenga pa buloba bipita diambedi ni midimu idimua kubapesha lupetu didi mua kuvujija bubanji bua ba PA-COLO ni bikunyibua bua badia bukuta kabayi batangidila mitshi to. Divujija dia lupetu lua mbanza, dipesha dia mukaji budishikaminyi ni kumuteka pa kaba kenda, kupingaja lumu ku bumanyi bua bena misoku, ni nsombelu wabu. Bukubi bua bukokeshi bua ba PA- COLO bua kuenzela malaba abo bidi mua kufila njila ku dilama dia malaba, bidimadima bia mu metu ni kuteka kua lungenyi popamue mu midimu yabo. Diakaja dia kupesha njila kudi ba PA-COLO bapola bimuma bia ebi bionso bidi bipakuta ku metu abo kabiyi bitangila dipana dia mitshi to. Nibikala mushindu wa dilama ni kuakaja bitupa bia malaba bidi bilama tshilulukidilu tsha bavua basomba mu miaba eyi kalakala. - Bipodibua bibi bitangila nsombeluwa bantu ni mikandu : Buitabi bua didilombodi dia bena metu didi mua kufikisha bambedi bena buloba ni bisamba bionso bia metu budi mua kufila njila kudi bena tshididi bua kuangata midimu eyi ni dimanyisha dia bantu. Bua nenku, bidi bilomba ni ewu mudimu kawutangidi malu a tshididi tsha ditunga to, bua bionso bidi mua kuenzeka bu nsangishilu wa bantu ni mianda kabukabu idi mua kuenzeka matangidila bulombodi ebu, basangisha bantu bonso kakuyi kansungansunga bua malu a tshididi. Bidi kabidi bua kulela lukuna kudi ba PA-COLO badi kabayi bapeta kantu mu bulongolodi ebu ; bidibwakufila kabidi njila mu dianza dia bisumbu anyi ONG ya bunyi yamba payi ni tudi tuakuila ba PA-COLO ; Pa nanku, anu ONG idi yenza mudimu ni ba PA-COLO bikadi bidimu bibidi ni pamutu ki idi ne makokeshi mu bulombolodi ebu. Ni mbimpa mua kuenza monso mua kuenza bua bisangelu ebi bishila mu midimu yayi. Dikebulula dia ebi bidi mua kuenza ni bantu banenga pa buloba bipita diambedi ni midimu idimua kubapesha lupetu didi kabidi bua kufila njila ku ndululu pikala diabanya dia lupetu kaluyi lusankisha bantu bonso nansha. Bua nanku, mbimpa kujula panshi ONG idi atangila dijikija dia ndululu (CLCD, CGCD, CoCoSi) anyi kuenza ONG mikuabo padiyi kayiyi yanji kuikala to. Bukubi bua 4 bukokeshi bua ba PA-COLO bua kuenzela malaba abo budi mua kufila njila bua dibengela bantu ni kabalengi mabanji makuabo mu APAC idi mimanyika, kabidi ni ndululu idi ifumina bua kutumina APAC eyi. Meyi ni mikandu ikadi muenza bua kufila diandamuna mu bualu ebu. Mbilombibua bua se bakaja meyi ni mikandu adi akepesha dienzela dia mabanji a (PARAR) mu tshimenga tshijima tshidi dilombolela edi ditangila, ni mena a mabanji adi alomba se bantu kabateki popu bianza mudibo basua to ni dilongesha dia bantu. - Mushindu wa kusungula bulongolodi bukesa bitangidila metu ne nsombedi wa bantu Mianda ya disungula dia bulongolodi bukesa budi butangila nsombelu wa bantu ni metu abu anyi screening idi yambulusha mu disungula ni dityeka muaba umue bulongolodi bukesa budi bufuanangana. Bidi bifila njila bua kumanja lusaka kayi lua kuteka bidi bitangila metu ni bidi bitangila nsombelu wa bantu. PACDF udi bulongolodi bua kalasa B bua Banque Mondiale. Pa nanku, bulombolodi bonsu bukesa bua kalasa A kabuena bua kusungudibua bua babupesha lupetu bua bidi bitangila bulongolodi ebu nansha. Disungula didi dianzeka pa disu dikole dia ewu udi mutekela mianda ya metu ni nsombelu wa bantu (RES), muena mudimu wa Banque muikala mulonda kudibantu banayi badibu babikila ni Points Focaux Environnement et Social (PFES), bangata kumudimu bua tshikondu tshikesa tshi tshitangila midimu ya bulombolodi ebu umua ni umua utangila tshimenga tshenda tsha mudimu. Butangidi bukulu budi buenzeka kudi kasumbu ka bantu ba PIF bitangidila makokeshi abu mu bulongolodi ebu bujima bua PIF. . Meyi a kutua mpanda mu diendesha tsha bulombolodi ebu bua bidi bitangila metu ne nsombelu wa bantu. Diendesha dia midimu yonso idi itangila bolombolodi ebu didi kengelela meyi ni mikandu akutua nawu mpanda atangila tshena bukelenga bua ditunga, mushindu wa kuenza, dishintakaja dia ngumu, dijula ntema ya bantu, dilongesha dia bantu, kulondolola ni kuteta bua kumanya ni bionso bidi bipita bimpe bisangisha mu Mukanda ewu. RES ni ba PFES benda nibikale ne mudimu wa kunzulula disu mu dibueja dia bionso bidi bitangila metu ni nsombelu wa bantu mu dienza dia mudimu wa dilombolodi edi. Ne benza mudimu basuikangana kumaboku ni REPALEF. Mukanda wa kubengesha bantu bua kabalengi ki bubanji ni wenzeka bua tshimenga tshionso tshidi bulombodi ebu butangila bua kukumbaja buendeshi bua malu bilondeshela kabukulu, ni meyi ni mikandu ya ditunga adi atangila metu popamue ni tshididi tsha Banque Mondiale bua luseka lua midimu yenda. Dilomolodi edi ne diteka tusunsu tua mushindu wa kuenzela midimu yonso ya ditangadija dia ngumu ni kujula ntema ya ba PA-COLO ne ba ONG yabo yonso, bua bubi bonso budi mua kuluila metu ni nsombedi wa bantu bifumina ku tubolombolodi tukese tuabu, ni bidi bitangila dienza dia mudimu pamue, diangata dia mabanza,ni bidi mua kubaluila padibo kabayi banemeka meyi abo nansha. Diakaja dia kulongesha bantu didi ditangila mena mena diteta dia bidi bitangila metu ni nsombelu wa bantu bua bulombolodi bukesa, tshidi malu onso aa enza pa bantu ni metu, nsitulukidi wa bikondu, ni bukubi bua bubanji bua bulaba. 5 • Tshisumbu tsha meyi adi atangila kuenza kua mudimu ni mikandu ya bulami bulenga bua bulongolodi ebu Dianza dia midimu yonso idi itangila bulombolodi ebu idi yenzeka unu kudi ba PA- COLO bena bualu, ni ba ONG idi yenza nabo midimu. Dilondesha dia midimu dia buatsha buatsha didi dienzeka kudi RES ni ba PFES benda kadi dilondesha dikulu didi dienzeka kudi ence Congolaise de l’Environnement, l’Institut Congolais de Conservation de la Nature, le Programme d’Investissement Forestier kudi dilongolola edi difuma, popamue ni Banque Mondiale, mu njila yenda ya kutangila mudi malu enzeka. Ne bulondolodi bua midimu ni kukontolola kua ditula dia lupetu ni dienzeka misangu ibidi, kumpala munkatshikatshi wa mudimu mu nkatshi mua ngondu isatu ya kumpala ya tshidimu tshisatu ni mukuabo mu ngondu isatu ya misatu ya tshidimu tshitandu tshia bulongolodi ebu. • Lupetu lua kuenza nalu mudimu bua CGES Lupetu lonso lua kuenza nalu mudimu wa CGES ludi lubueja mishinga ya midimu ya bionso bia kuenza nabio mudimu, kutua nyama kumikolo ya bukola bua bantu, ni dilondesha dia midimu. Lupetu elu ludi lutua ku 675.400 US dollars, bileja 11% lupetu lonso lua PACDF ludi lutua ku 6 millions ya dollars US. 1 Version Lingala MOKANDA MWA BOKAMBI YA ZEBI PE EVANDELI YA BATO EYE ESALAMI NA NTINA NA MUANGO NA LISUNGI O BA COMMUNAUTE BAYE LOBIKO EZA NA ZAMBA � Maye matali boyekoli (1) Mokanda mua botambuisi bua zebi pe evandeli na bato oyo mosalami po na ntina na bosungi o ba communauté ya bato baye lobiko lotaleli zamba eye Gouvernement ya mboka CONGO akani kotsia to kobandisa na lisungi ya BANQUE MONDIALE. Ntina na mambi maye ezali po na kotsia na mosala mibeko miye mikotalaka bolongobani bua boponami bua miango mike mike boponami pe bondimami na yango kokokana na Politiki, mibeko pe zebi pe evandeli na bato o Ekolo pe Politiqui ya bobateli ya zebi ya BANQUE MONDIALE. Kati na mokanda moye, toli pe malako mia etonga na bato balengelaki mokanda mua tango moke mua sanza ya misato 2015 etsiami na kati. CGES eye ezali mosala mosalami na nzela ya bokutani bua bitonga biyike; Ba delegués pe ba delegués balandi ya mabota ya ba autochtones pe bitonga ya ba mboka, pe bakambi ba Ekolo. Ntina bua bokutani bua masolo mana ezalaki po na kozua makanisi na basali banso po etali mambi ma Zebi pe evandeli na bato likolo na muango pe kobimisa polele ba nkaka inso ikoki kobebisa bosalami na yango. � Ntina, basangoli mpe bayi muango Ntina mobimba ya PACDF kati na programme ya investissement Forestier ezali po na kopesa maboko na mboka na : Bokei liboso na oyo etali bokitisi ya ba émission euti na bokati pe bobesi zamba pe botomboli ya kobatelama na zamba po na tango molayi; pe koyikisa bibombelo ya carbone ya zamba (REDD+). Ntina ya bokei liboso ya PACDF ezali po na botomboli bua makoki na PA-COLO ya bituka 16 na ntina na bozui mikano pe bokitisami na bango o misala mia REDD+ pe misala ya programme d’investissement Forestier na mboka, na Ekolo pe bazua mbuma na yango. Basangoli ya muango bazuami na bituka mike, ba PA-COLO pe masanga ya bituka mike (ndakisa bitonga ya communauté de Base) ya bituka 16 eponami. Ebiangelo PA-COLO etaleli bobele ba peuples autochtones pe communauté ya mboka iye ivandi pembeni, izali na mimesano pe milulu moko (na makambo etali kosambela) makoki na kobika na bokila. Na Ekolo, baye bakozua litomba na muango moye ezali lokola : Ministère affaires foncières, ministère en charge des femmes, ministère en charge de l’Agriculture, ministère en charge de la jeunesse kotalela ngambo nini miango mike-mike mi kosungama na misolo. 2 Tango epasami na PACDF ezali mibu mitano elongo na budget mobimba ya 6 millions ya ba dollars US. Ekabuani na biteni minene misato pe biteni motoba ya mike: (I) Eteni ya yambo: bokembisi bua mosala ya ba PA-COLO 1a: misala mikoki na mosanda ya Ekolo pe Eteni moke 1b: misala mikoki po na ba communauté ya ba mboka;(II) Eteni ya mibale 2: lisungi o botomboli bua misala mia nkita pe bobatelami ya resource naturelle: Eteni ya muke 2a: botomboli banzela ya kobika pe misala miye mikopesaka nkita, Eteni ya muke 2b : Bokengeli ya makoki ya bosaleli mabele ya ba PA-COLO; (III) Eteni ya misato: Coordination, communication, suivi et evaluation. Eteni ya muke 3a: coordination ya miango pe eteni muke 3b: bolandeli pe botali-tali ya eyokeli na yango. Kotala na malamu botsiami na nkita elengeli liboso na PACDF, ezali komonana ete bosalami ya Eteni ya muke 2a pe 2b ekoki kobimisa: (i) Ndenge nini yakobatelama ya zebi ya evandeli lokola PO/BP 4.01 likolo na bopimami na zebi na evandeli, PO 4.04 likolo na bisika na bovandi, PO 411 likolo na bijali ya bonkoko iye izali komonana pe PO 436 likolo na ba zamba; (ii) Ndenge mibale ya botomboli evandeli ya bato lokola PO410 likolo na peuples autochtones pe PO 412 likolo na bovandisi bato na esika kozanga mokano na bango. Pona kopesa eyano na bisengiseli ezuami kati na mokanda moye, meko to mibeko pe misala miyebani mipesami kati na CGES oyo. � Maye matali bizali pe epayi wapi muango ekosalama Muango moye mokosalama kati na bituka minene 4 pe bituka mike 16 (Bandundu : Kiri, Oshwe pe Inongo Province Oriental : Opala, Banalia, Bafwasende, Yahuma pe Mombasa K-Oriental : Lupatapata, Lusambo, Lubefu, Lubao pe Kabinda ; K-Occidental : Dimbelenge, Mweka pe Dekese). Botali malamu ya zebi ya evandeli ya bato pe nkita ya esika muango ekosalama esalamaki mingi kotalela lobiko ya ba peuples autochtones pe bato baye lobiko na bango etaleli zamba na RDC. Botali bona bosungi po boyebi misisa ya makambo matali zebi (mitungisi likolo na bozui, bokati bua zamba pe Erosion pe bongo na bongo) pe oyo etali evandeli na bato (bozangi boyokani na ndenge nionso, ndakisa ya mabele, bobola, pe bongo na bongo) iye bosalami ya biteni ya mwango oyo ikoki kokutana na yango. � Mbano minene ya bivandeli na bato ya muango Mbano ya minene ya malamu oyo etali zebi ya evandeli : Bondimi ya lolenge ya bo kambemi o ba communauté ekosunga na komipesa ya ba (PA-COLO) likolo na mambi ya kobatelama ya bisika na evandeli (écosystème) pe likolo na bomoyi boko bikaka na mokili (bio diversité), misala mia kobatela mokili (service écologique) pe bonkoko. Botomboli bua makoki na kobika makeseni pe misala mia nkita miko pesa bokitisi likolo na nkita na 3 ba nzete pe ba zamba, lokola na ba zamba ya sika, ekolendisa na oyo etali mambi ma bokambemi malamu, bobongisami ya lobo ya mabele pe bozongisami bisika ya zamba. Bobatelemi bua makoki bua bosaleli mabele ya ba PA-COLO mokosunga na biloko biye bikobikaka na mabele pe bo bongisami ya bisika bià zamba bia bituka mike biponami ekopesa makoki na bozui mokumba pe bomikotisi ya solo ya ba PA-COLO na bobateli pe bokambi ya nkita ya zamba. Mbano minene ya mabe etali zebi pe meko : Botobuami bua nzela ya kobika ekeseni pe misala mia kopesa nkita ekoki kotindika basangoli litomba mingi. Ekosenga na bango kosala miango ya botsiami ya ndelo ya mabele pe kosala été imemiama na mabele ya mboka pe bituka mike pe kolakisa basali litomba ya ba ndelo ya bitando ya kolona bilanga. Mbano minene ya malamu na oye etali bivandeli na bato : bondimi botambuisami o communauté ekoki kosunga na bobatelami bua mabele epai na ba PA-COLO, na bo lendisami na ngambo ya ba PA-COLO na oyo etali bozui mikano (gouvernance) na bobateli ya mabele na bango, na bolendisami ya masanga epa ba Pa-colo pe botalisami na bango o ba mboka. Botombuami ya ba nzela ya kobika ekeseni pe misala mikobotaka nkita ekokoka kobakisa makoki misolo ya ba PA-colo pe makoki ya koyanola na bosenga ya mboka na biloko biuti na zamba kasi nzete te, bobongisami ya nkita ya mabota ya ba PA- colo, bonsomi ya mwasi o mboka pe mbonguana ya bomoyi na ye na mitu ya bato, bo pesi lokumu ya boyebi ya bonkoko na bizaleli. Bobatelami ya makoki ya kosalela mabele ya ba Pa-colo ekosungaka na kosilisa kokabama ya mpe koyeba kotsia ndelo na lolenge mabe ya bozui zamba, bokambi elongo ya mayele pe ya koumela ya mabele, bopesi nzela malamu ya ba PA-colo na biloko biuti na malele te. Ekozala nzela ya kobatelama pe kopesa lokumu na bisika biye biyebana bia milulu na kosambela pe biloko na ba nkoko to bato na kala. Mbano minene ya mabe ya bivandeli na bato pe meko : bondimi botambuisami o communauté ekoki komema bapolitiki na misala ya kolakisa pe ya masolo likolo ya bobatelami mabele. Na yango, milulu pe mayangani nyonso makosalama na bitonga nyoso ya basali ezala na mboka mike to pe Ekolo etikala libanda na mambi na politiqui ata soki babongisi na milulu mina bakoki kozala bato na politiqui. Ekoki pe kozala lisusu na likama kati na yango po na kozua botombuami makambo ma zua uta na ba PA-COLO baye bazui litomba na lisungi na miango te pe likama na puasa ya ba ONG yango oyo ibundelaka ba PA-COLO iye izali na misala na tango ya botsiami na mosala ya muango. Po na yango ekosengela kaka ba ONGS iye ikosalaka elongo na ba PA- COLO uta mibu mibale bazala ya liboso pe isalelo moko etsiama na mosala po na kosunga boumeli ya ba ONGS yango. Botombuami ya ba nzela ya kobikela ekeseni pe misala ya bopesi nkita ekoki kozua likama ya kobimisa bozangi boyokani na tango bokaboli ya kopona pona po na masungi mike na misolo. Po na yango esengeli kotindika bo 4 kembesami ya bisika na bisambelo ya bosilisi bozangi boyokani (CLCD, CGLCD, COCOSI) biye bisili kozala pe bokeli biango bipayi wapi bizangi. Bokeli ya makoki ya bosaleli mabele ya ba PA-COLO ekoki komema makama ma bopekisi ya boyingeli na ba nkita mosusu kati na ba APAC iye iyebani pe bozangi boyokani iye iuti na bokambemi ya ba APAC. Esika moko ya mosala esalemi pona bopesi biyano bisengeli. Lisusu esengami été mwango moko ya bopekisi boyingeli ya ba nkita ya(PARAR) esalama to po na etando moko na moko eye eponami na nzela ya baye bazwi litomba (PA-COLO) pe lisusu mokanda na ba kombo ya ba nkita ya bo saleli esengeli kozala na ndelo kati na bitando iponami pona bozongisami na makoki esalama. � Nzela ya boponami na ngambo ya zebi pe evandeli na bato Nzela ya boponami bua zebi ya evandeli na bato (screeming) ekosunga na boponi pe botsiami na molongo ya mwango mike-mike, yango nde ekosunga pe koyeba malamu bitonga ya misala ya zebi ya bivandeli pe ya bato. PACDF ezali muango moko ya etonga B ya Banque Mondiale, na yango miango miki-mike iye izuami na etonga A, eko ponama na bopesi misolo na muango te. Nzela ya kosalela yango ekotambuisama na moto na mokumba ya zebi ya evandeli pe bato RES oyo ezuami mobimba na mosalo ya tango nionso pe eko sungana na ba 4 points focaux environnement socials (PFES) oyo ezuami na mosala na tango ya bosenga moko pona bassin moko. Liso moko ya likolo ya libanda ya etonga ya PIF ekozala kokokana na mikumba na bango na mobimba ya muango PIF. - Meko ya bokembisi bokambi muango na ngambo ya zebi ya bivandeli ya bato Botambuisamisami ya misala ya zebi ya evandeli na bato ya muango esengi ezala na meko ya bolendisi makasi ya molongo ya ba institutions, techniki, boyebisi sango pe ya bolamuisi makanisi, pe ya bolakisami, pe ya bolandi-landi/botali-tali iye ipesami na mokanda moye. Mosala ya RES pe ba PFES ekozala ya bosenzeli likolo ya botsiami ya ngambo ya makambo matali zebi pe evandelo ya bato na tango muango mokosalema. bakosala elonga na boyokani na ba REPALEF. Muango moko ya mosala ya bo pekisi na ba nkika ekosalama pona bitando inso iponami po na bokokani yabokambemi ya ba mboka na ndenge ya bonkoko engebene na mibeko ya zebi ya Ekolo pe politique ya kosalela ya Banque Mondiale. Muango ekosala malako ya bopanzi pe bopalanganisi sango ya ba mbemba na maye matali zebi pe bivandelo na bato na PA-COLO pe ba ONGS eko kambaka bango, mbeba iye ekosalamaka na tango miango mike-mike mikotsiama na mosala pe likolo na baye bakosala na bango elongo na bopesi misolo ya kosalela pe likolo na makama makoki koya, soki bitonga nyonso ekosalaka mosala ikomemia maloba na boyokani na bango te. 5 Muango oyo ya boyekoli ekotalela likolo ya botalitali ya miango mike-mike na oyo etali zebi ya evandeli na bato ba mbano ya bivandelo na bato, mbonguana ye zebi ya ya likolo ya mabele, bokambeni ya molai ya nkita. Malako maye mapesama mpo na kosalela meko ya ba bobateli Kotsiama kati na mosala ya ba meko ya bato pe bivandelo ya bango ekosalama na ba PA- COLO bazui na litomba, elongo na lisungi ya ba ONGS iye ezali kosala na bango. Bolopoli ya misala na kati ekosalama na ba RES pe ba PFES ya muango nzoka nde bolopoli bua limbanda ekozala na mukumba ya ba Agence Congolaise ya environnement, Institut Congolais de Conservation de la Nature, Programme d’investissement forestier epayi muango muye pe Banque Mondiale na na ntomo na ye ya bosungi mosala. Audits to pe ntangi mibale ya mosolo na mambi ya zebi ya evandelo na bato esengeli kosalama, moko na trimestre ya liboso ya mobu ya misato pe mosusu na trimestre ya misato ya mobu ya mitano pe ya suka ya muango • Budget to misolo misengami mpo na bosaleli bua CGES Budget mobimba ya CGES ezali kati na yango na misolo ya meko ya techniqu ya boyekolisi bato na oyo etali misala pe bolandi-landi na yango. Motuya ya budget oyo ezali na 675,400 ya ba dollars US, to 11% ya budget mobimba ya PCDF iye izali ya 6 millions ya ba dollars US.